Mtu akitembea na mkeo nawe tembea na mkewe wake

Je kama mke wa huyo jamaa ana maradhi hatari ya kuambukiza?
 
kwanza usilipe kisasi,pili vipi kama anayemla mkeo yeye hana mke?
 

ya Wamasia
Kama wanavyofanya Wamasai
 
ukiwajibika na kutekeleza wajibu wako vema na kwa ukamilifu hiyo kitu mchepuko ni nadra kutokea kwa familia yako....

ukiwajibika kwa kugusagusa tu huku ukikwepa na kurukaruka majukumu yako utasaidiwa tu....
Utapiga mpaka iwake moto, akikutakana na jamaa mwingine anayependa tako lake tuu anamhonga Harrier au nyumba kabisa kwa ajili ya tako tuuu [emoji23] [emoji23] Yaani labda upate malaika kabisa mkuu... Kuna lijamaa lilimpenda mke wa mtu na kumnunulia kiwanja kisa tuu mke ana midomo mizuri na raha yake pekee ni oral sex baas hana shida na mbunye wala tako [emoji23] [emoji23]
 
Umalaya ni damu sio ishu ya kipato
Wanawake kwa asili wengi wana tamaa na miaka ya leo vichocheo vya tamaa ni vingi simu kali, mavazi, mabegi, magari, nyumba, vacation, weekends and many more others... Ukimtimizia upande wa kitandani uweze pia ku meet her daily demands, Yaani vyote vikae kwenye mizani...
 
Wao wanatazama nyege ya sasa na sio madhara ya nyege.
Wakipewa talaka ndipo ujutia
 
Inategemea na huyo mkewe ni kisu au sanamu la michellin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…