Mtu akiwa anakudai ni sawa kukuposti mitandaoni kukuita tapeli?

Mume wake anajua kuwa mke ana madeni?

Maana wanawake wengi wanaokopa kausha damu wanakuwa wanafanya cheating waume zao hawajui.

Pengine hofu ya mwanamke kuwekwa hadharani ni kuofia mumewe anaweza akapata hizo taarifa ikawa msala.
 
Kama mahakama imeshaamua hivyo ,basi atangazwe mitandaoni kama sivyo basi amwache amtangaze Ili aje amsafishe
 
Hawa ndio wale ambao hata maji au umeme hawalipi mpaka wakatiwe
 
Wakuu.

Mimi siijui sana sheria kwani sio.taaluma yangu kabisa.

Well
Hapa ninapoishi kuna jirani yangu huyu mama mtu wa miaka Kati ya 30's . Huyu dada ni mtu wa mikopo sana sijui kausha damu mara vicoba sijui whatever anajua vyote.

Mara kadhaa amekuwa akija kujificha kwangu asubuhi sana watu wanaomdai wanakuja kumtafuta kwake.
Mumewe ni dereva wa magari makubwa anasafiri sana.

Sasa kilichonileta hapa ni moja. Dada huyu kanifuata leo jioni tu ananiuliza nimshauri Kuwa wanaomdai hasa mmoja huyo nati yake imevurugika kidogo.

Huyo mdai anamtishia dada huyu kuwa ataweka picha yake mitandao yote kuwa yeye ni tapeli nawatu wasimuamini.

Sasa dada anauliza kama hilo nalo ni kosa la kuvua utu wa mtu au avumilie tu kisa anadaiwa? Binafsi mimi sijui sana hayo mambo nikakosa cha kumjibu zaidi ya kuona kayakakanyaga..

Nadhani hapa tutapata jibu kabisa.
Sio salama Sana kumficha mwizi au tapeli, wenzio wakijua mtu anatabia hizo wanamkwepa kujiusisha naye, msala unaweza kugeukia kwenu.
 
Ni kosa kwasababu hakuna sheria ya inchi ina mruhusu raia kumchafua raia mwingine kwa kumpost mtandaoni kwa taarifa mbaya. Hiyo ni defamation.

Kama unadaiana na mtu kuna namna za kufanya na taratibu za kufuata ili kuweza kulipwa pesa yako bila shida ila sio sawa kumchafua mtu kwasababu yoyote ile.

Na huyo mama nae ana makosa kwann anakopa akitegemea madeni kujifuta tu yenyewe.
 
Wakuu.

Mimi siijui sana sheria kwani sio.taaluma yangu kabisa.

Well
Hapa ninapoishi kuna jirani yangu huyu mama mtu wa miaka Kati ya 30's . Huyu dada ni mtu wa mikopo sana sijui kausha damu mara vicoba sijui whatever anajua vyote.

Mara kadhaa amekuwa akija kujificha kwangu asubuhi sana watu wanaomdai wanakuja kumtafuta kwake.
Mumewe ni dereva wa magari makubwa anasafiri sana.

Sasa kilichonileta hapa ni moja. Dada huyu kanifuata leo jioni tu ananiuliza nimshauri Kuwa wanaomdai hasa mmoja huyo nati yake imevurugika kidogo.

Huyo mdai anamtishia dada huyu kuwa ataweka picha yake mitandao yote kuwa yeye ni tapeli nawatu wasimuamini.

Sasa dada anauliza kama hilo nalo ni kosa la kuvua utu wa mtu au avumilie tu kisa anadaiwa? Binafsi mimi sijui sana hayo mambo nikakosa cha kumjibu zaidi ya kuona kayakakanyaga..

Nadhani hapa tutapata jibu kabisa.
Kwanza hilo ni kosa kisheria(defamation)ambalo litakuwa kimaandishi ( libel)
Baada ya kuanikwa mitandaoni akienda mahakamani ni lazima adhibitishe yafuatayo
(1)Hayo maneno ni Kweli yawe yanamdhalilisha
(2)Hayo maneno ya kudhalilisha yawe yanamlenga yeye mwenyewe mlalamikaji
(3)Hayo maneno ya kumdhalilisha yawe yametolewa kwa makusudi na yawe yamesomwa au kuonwa na mtu wa tatu
(4)Hayo maneno ya kudhalilisha yawe ya uongo au siyo ya kweli
Kwa hiyo ukiangalia vigezo vitatu vya juu atashinda isipokuwa cha 4 ambacho ni kweli anamdai na hajamlipa
 
Ukitaka kua mbaya dai chako. Hamna kitu kinaumiza umkopeshe mtu halafu akuchengeshe unaweza tumia mbinu yoyote kurudisha pesa yako.

Aanikwe tu huko mtandaoni hatokua wa kwanza wala wa mwisho na itakua fundisho kwake
 
Wakuu.

Mimi siijui sana sheria kwani sio.taaluma yangu kabisa.

Well
Hapa ninapoishi kuna jirani yangu huyu mama mtu wa miaka Kati ya 30's . Huyu dada ni mtu wa mikopo sana sijui kausha damu mara vicoba sijui whatever anajua vyote.

Mara kadhaa amekuwa akija kujificha kwangu asubuhi sana watu wanaomdai wanakuja kumtafuta kwake.
Mumewe ni dereva wa magari makubwa anasafiri sana.

Sasa kilichonileta hapa ni moja. Dada huyu kanifuata leo jioni tu ananiuliza nimshauri Kuwa wanaomdai hasa mmoja huyo nati yake imevurugika kidogo.

Huyo mdai anamtishia dada huyu kuwa ataweka picha yake mitandao yote kuwa yeye ni tapeli nawatu wasimuamini.

Sasa dada anauliza kama hilo nalo ni kosa la kuvua utu wa mtu au avumilie tu kisa anadaiwa? Binafsi mimi sijui sana hayo mambo nikakosa cha kumjibu zaidi ya kuona kayakakanyaga..

Nadhani hapa tutapata jibu kabisa.
Akiwekwa kwenye mitandao ndiyo atakuwa amemalizana na mdai
 
Back
Top Bottom