Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Imagine toka asubuhi... Nipo tu bila nguo hotelini. Naagiza chakula wanaleta na watch movies tu.
Kubwa zaidi nakunywa zangu pombe huku najamba tu na ku enjoy harufu yake. Nimegundua kuwa harufu ya kujamba kwako mwenyewe ina sooth the mind. Basi humu room. Sitamani aingie mtu.
Maana napenda pia harufu ya mapumbuh yangu. So sijaoga ili niipate nanusa nanywea na Heineken. Safi kabisa.
Nakula nakunywa Heinekein zangu taratibu najiachia nafurahia the smell. Naendelea kuangalia movie. Uzuri nipo alone so najiachia kinyama. Nikiwa kazini watu wananiheshimu sana na kuniogopa. Ila humu alone nafanya mambo ya kijinga sana.