Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeaah... Nami naanza feel hivyo ila akija msichana atanizuia nisiwe najamba. So nataka niagize tena msosi mzuri na mayai ya kuchemshwa. Nile nilewe niwe najamba kwa uhuru na ku enjoy the smell. Yaani najisikia huru sana. Sina nguo hata moja. Hii mpaka kesho ndo naondoka.Kuna siku nilishinda hivyo nikapigiwa simu na mama mkwe, nikahisi naonekana vile, Ila 100% ni Furaha sana kuwa peke yako Nyumbani sometimes lakini,Ukakaa uchi mwili unapunga hewa vizuri kabisaa,Unakula bia ila inaleta mawazo ya Uzinzi sana
Hayo yote ni mazuri na ni starehe kama unapesa kama huna hata hilo wazo la kukaa peke yako utalitoa wapi...tutafute hela jamani😆😆
Acha niwe kichaa nafuraha kuliko niwe mzima na huzuni.Kiufupi una pepo mchafu au unaanza kua kichaa
Kwa kweli once ukipata chance ya kutumia vyema furaha yako use it effectively nafsi isuuzike,imeandikwa duniani mnayo dhiki mpenyo na faraja ukipatikana kmhivo enjoy uwezavyo shida zinakuja zenyew furaha inatafutwaUmeongea vyema ndo maana vijana wakipata nafasi kama hii wanaona bora waitumie na demu. Mimi kwangu si kitu kigeni na enjoy kwa kweli.
Daaaaaah............Offer ya Dubai hotel, enjoy kesho asubuhi mtarushia kipindi huko tena, mnarudi lini
shidaa... hawa waarabu wanatuletea mambo kibaoDaaaaaah............
Punyeto haujapiga kweli weweImagine toka asubuhi... Nipo tu bila nguo hotelini. Naagiza chakula wanaleta na watch movies tu.
Kubwa zaidi nakunywa zangu pombe huku najamba tu na ku enjoy harufu yake. Nimegundua kuwa harufu ya kujamba kwako mwenyewe ina sooth the mind. Basi humu room. Sitamani aingie mtu.
Maana napenda pia harufu ya mapumbuh yangu. So sijaoga ili niipate nanusa nanywea na Heineken. Safi kabisa.
Nakula nakunywa Heinekein zangu taratibu najiachia nafurahia the smell. Naendelea kuangalia movie. Uzuri nipo alone so najiachia kinyama. Nikiwa kazini watu wananiheshimu sana na kuniogopa. Ila humu alone nafanya mambo ya kijinga sana.