Mtu akiwa peke yake ana enjoy vitu vya ajabu sana. Ukipata nafasi kuwa unamwangalia utashangaa

Kuna siku nilishinda hivyo nikapigiwa simu na mama mkwe, nikahisi naonekana vile, Ila 100% ni Furaha sana kuwa peke yako Nyumbani sometimes lakini,Ukakaa uchi mwili unapunga hewa vizuri kabisaa,Unakula bia ila inaleta mawazo ya Uzinzi sana
Yeaah... Nami naanza feel hivyo ila akija msichana atanizuia nisiwe najamba. So nataka niagize tena msosi mzuri na mayai ya kuchemshwa. Nile nilewe niwe najamba kwa uhuru na ku enjoy the smell. Yaani najisikia huru sana. Sina nguo hata moja. Hii mpaka kesho ndo naondoka.
 
Umeongea vyema ndo maana vijana wakipata nafasi kama hii wanaona bora waitumie na demu. Mimi kwangu si kitu kigeni na enjoy kwa kweli.
Hayo yote ni mazuri na ni starehe kama unapesa kama huna hata hilo wazo la kukaa peke yako utalitoa wapi...tutafute hela jamani😆😆
 
Kiufupi una pepo mchafu au unaanza kua kichaa
 
Umeongea vyema ndo maana vijana wakipata nafasi kama hii wanaona bora waitumie na demu. Mimi kwangu si kitu kigeni na enjoy kwa kweli.
Kwa kweli once ukipata chance ya kutumia vyema furaha yako use it effectively nafsi isuuzike,imeandikwa duniani mnayo dhiki mpenyo na faraja ukipatikana kmhivo enjoy uwezavyo shida zinakuja zenyew furaha inatafutwa
 
Punyeto haujapiga kweli wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…