Mtu akiwekwa kizuizini anaruhusiwa kwenda kanisani ?

Mtu akiwekwa kizuizini anaruhusiwa kwenda kanisani ?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Mtu akiwekwa kizuizini anaruhusiwa kuendelea kuitumikia Imani yake mbele ya umma kama kuendelea kwenda kanisani, misikitini au kwa waganga kulingana na imani yake ?

Au anakuwa anapelekewa padri, mchungaji, askofu, sheikh, ustadh au mganga aliko kizuizini?
 
Kuna tofauti ya kizuizini na kifungoni au gerezan( kizuizin mara nyingi huwekwa watu maalumu hasa viongoz wa siasa,jeshi au wale wataalam au watu muhimu lengo kumlinda yeye na nyaraka zake zisijefikia kwa watu wabaya kwa wakati huo,pia wahusika wa kizuizi icho mara nyingi hua watu wake wa kalibu yaweza kua serikali yake,wanajeshi wake,ofisi yake hadi pale hali itakapokua sawa kwa wale waliomuweka kizuizini mt huyo anaweza achiwa huru au kushtakiwa itategemea lengo lakumzuiya ni lipi
 
Ahsante mkuu,mleta mada anauliza haki zake sasa
 
Mtu aliye kizuizini anafanana na mtu aliye tekwa isipokta malengo ya kizuizini na utekwaji ni tofauti na maranyingi vizuizi hua wazi mf nyumbani kwako,ofisin au nchini ila mtekwaji hua taalifa zake hazitokua wazi kuanzia alipo na mara nyingi mtu akitekwa kuachiwa akiwa hai ni 5% ila mtu alie kizuizini kuachiwa ukiwa hai 95%
 
Pia hata baadhi ya wagonjwa,wasafiri au wahanga flan huwekwa kizuizini itategemea kuna nini kimetokea au kuendelea hadi kuwekwa vizuiz vya mt au watu
 
Mtu wa kizuizini usalama wa maisha ni 95%,mfungwa usalama wa maisha ni 65%,mateka usalama wa maisha ni 5% (hawa wote wameshikiliwa kimwili na kiakili)
 
Pia hata baadhi ya wagonjwa,wasafiri au wahanga flan huwekwa kizuizini itategemea kuna nini kimetokea au kuendelea hadi kuwekwa vizuiz vya mt au watu
Kuna tofauti kati ya detention na quarantine.
 
Mtu aliye huru 100% anaweza kuwa kizuizini 100% na aliye kizuizini 100% akawa huru 100%. ....
 
Back
Top Bottom