GwaB
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 5,208
- 7,049
Kizuizini ni kifungo cha maisha uraiani. Ni kutengwa kabisa na umma ukiwa na watu wako wachache wa karibu hasa mke au mume. Mara nyingi huamuliwa na kifo. Detention act ilitesa sana watu enzi za Mwalimu, sina hakika kama bado ipo kwenye vitabu vyetu vya sheria lakini kwa kiwango kikubwa inakiuka haki za binadamu.