Ahsante mkuu,mleta mada anauliza haki zake sasaKuna tofauti ya kizuizini na kifungoni au gerezan( kizuizin mara nyingi huwekwa watu maalumu hasa viongoz wa siasa,jeshi au wale wataalam au watu muhimu lengo kumlinda yeye na nyaraka zake zisijefikia kwa watu wabaya kwa wakati huo,pia wahusika wa kizuizi icho mara nyingi hua watu wake wa kalibu yaweza kua serikali yake,wanajeshi wake,ofisi yake hadi pale hali itakapokua sawa kwa wale waliomuweka kizuizini mt huyo anaweza achiwa huru au kushtakiwa itategemea lengo lakumzuiya ni lipi