Tunajua kaandaliwa na watu au Mungu kupitia sifa na mapito yao. Babu yetu Abraham aliishi hadi miaka 90 bila mtoto! Mungu anakuja kumpa mtoto uzeeni alafu anamtaka amtoe sadaka! Abraham alihitaji miaka 90 ili afikie kiwango cha mwisho cha mapenzi kwa mtoto wa pekee ili akitoa sadaka iwe sadaka iliyojaa upendo kamili. Abraham hakujiandaa aliandaliwaNi mtu mwema sana, lakini suala la "kuandaliwa na Mungu" siku zote nitalipinga.
Mkuu MTAZAMO , naunga mkono hoja asilimia 100% kwa 100%. Kuna watu niliwashauri, Thamani Kuu ya Tundu Lissu ndani ya CHADEMA ni Ipi Kati ya Uwezo wa Uenyekiti wa chama au Uwezo wa kukipeleka chama Ikulu 2025 ?Wakuu,
Leo nimetafakari sana kiwango chake cha kuhimili magumu haya, nikasikia sauti ndogo ndani yangu ikisema "si yeye ni YEYE" ( asemavyo Pascal Mayalla ). Sisi tuendelee kumuombea lakini mtu yeyote anayeamini hata kidogo uwepo wa YEYE aepuke dhuluma juu ya huyu mtu maana anashindana na YEYE bila kujua!