Mtu aliyelelewa na mzazi mwenye akili utamjua kwenye mambo yafuatayo

Mtu aliyelelewa na mzazi mwenye akili utamjua kwenye mambo yafuatayo

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
1.Hutamkuta akichanganya matumizi vyombo yaani kwa mfano beseni la kufulia hilohilo aoshee vyombo hata kama an umaskini ila atatafuta njia nyingine sio kushare matumizi.

2.Akimaliza kula au kupika utamuona anasuza vyombo uchafu hata kama ataviosha baadae.sio mwingine kapika usiku analaza mavyombo hivyohivyo.

3.Akifua nguo ili lazima aisugue kwenye mapovu hata mara tatu n kuisuza zaidi ya mara mbili ndo anaridhika nafsi yake.
 
4. Anaosha kandambili zake kabla ya kuoga halafu anavaa kandambili na socks.

5. Anaangalia muvi zilo tafsiriwa kwa kiswahili..

6. Akipanda daladala nauli anashika mkononi ili isije kupotea...

7. Akienda ugenini wakati anakaribishwa chakula.. Anajifanya hakioni yupo makini na televisheni... Mpaka aitwe jina.
 
-Usingizi haumjii akiwa na deni hata la Tsh 300/=.
-Haongoei wakati anakula na kufunika mdomo anapopiga chafya.
-Ananyoa mavuzi size ya brushi Ili kuepusha vipele.
-Hawezi kuishabikia yanga na Manchester utd.


Usiku mwema.
 
1.Hutamkuta akichanganya matumizi vyombo yaani kwa mfano beseni la kufulia hilohilo aoshee vyombo hata kama an umaskini ila atatafuta njia nyingine sio kushare matumizi.

2.Akimaliza kula au kupika utamuona anasuza vyombo uchafu hata kama ataviosha baadae.sio mwingine kapika usiku analaza mavyombo hivyohivyo.

3.Akifua nguo ili lazima aisugue kwenye mapovu hata mara tatu n kuisuza zaidi ya mara mbili ndo anaridhika nafsi yake.
Nna limpangaji langu,,linaona choo kisafi full tiles wenzie wameweka ndala kwamba ukiingia ndala zako chafu acha nje,.... Unakuta lenyewe linaingia na miviatu yake.

Yaani kuna mijitu haina akili aisee,ndoo ya kuogea lenyewe linapigia deki.

Leo nimelinywea hansoChoice nimelitolea shit kali sana
 
Lazima awe anakuja kuchungulia JF Newz Moto Moto. Kushinda Tik Tok, Instagram, and the likes huo ni uzuzu, wamejaa wasio na maadili kule.
 
Jua kutofautisha AKILI na MAARIFA
AKILI bila maarifa ni kazi bure na ndio sababu unasikia baadhi ya wasomi wakitoa maneno au maamuzi ya hovyo hoyo....
 
Back
Top Bottom