ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Nna limpangaji langu,,linaona choo kisafi full tiles wenzie wameweka ndala kwamba ukiingia ndala zako chafu acha nje,.... Unakuta lenyewe linaingia na miviatu yake.1.Hutamkuta akichanganya matumizi vyombo yaani kwa mfano beseni la kufulia hilohilo aoshee vyombo hata kama an umaskini ila atatafuta njia nyingine sio kushare matumizi.
2.Akimaliza kula au kupika utamuona anasuza vyombo uchafu hata kama ataviosha baadae.sio mwingine kapika usiku analaza mavyombo hivyohivyo.
3.Akifua nguo ili lazima aisugue kwenye mapovu hata mara tatu n kuisuza zaidi ya mara mbili ndo anaridhika nafsi yake.
Ila anakula nyama vizuri tena kuku anapenda kidariAnapanda miti na kuitunza kwenye viunga vya nyumba yake na hawanyanyasi wanyama