Mtu aliyesoma akaelimika akakombolewa kifikra hawezi Kutoa au kutolewa Mahari

Mtu aliyesoma akaelimika akakombolewa kifikra hawezi Kutoa au kutolewa Mahari

Acha tu tufuate tamaduni zetu za enzi za mawe ulimbombo na ulindi ili wakuone wewe mwanaume lipa ng'ombe
 
Kilakitu katika jamii ni makubaliano au hata sheria lazima mkubaliane na hayo makubaliano sio lazima yawe sahihi.
 
Mleta mada usitake kuona wewe una Akili kuliko walioweka mahari na inavyoonekana wewe ni Team kataa Ndoa ila ni kwa Mlango wa nyuma kwa maana ndoa bila mahari hiyo haiwezi kuwa Ndoa kwa Akili yako hata Wachezaji wa mpila wa miguu haitakiwi wasajiliwe kwa Pesa maana ni kuwafanya Watumwa.Mwanamke akichukuliwa For Free Atapoteza Thamani ya ule Uwanamke wake tukuulize wewe na huo utibeli wako umepita sehemu watu wanaghaiwa nguo na wewe ukapewa shati ukarudi nalo nyumbani na kuna siku ukafanya kazi ukapata Pesa ukaenda kununua shati dukani haya kwenye haya mashati ni lipi utakuwA unajivunia nalo na kulipa thamani?
 
MTU ALIYESOMA AKAELIMIKA AKAKOMBOLEWA KIFIKRA HAWEZI KUTOA AU KUTOLEWA MAHARI.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Elimu Kazi yake kûbwa ni kumkomboa Mtu ndiye Mwanamke na Mwanaume kifikra.

Haiwezeniki Mtu kafika chuo Kikuu, amesoma degree au katika chuo cha Kati akasoma stashahada akaibusti Akili Yake Akaelimika alafu Wakati wa kuchumbia au Kuoa au kuolewa akakubali Kutoa au KUTOLEWA mahari.

Mtu ALIYESOMA au Mtu yeyote àmbaye akili yake Iko Huru na inachaji hawezi kushindwa kujua kuwa MAHARI ni biashara haramu ya kumnunua Mwanamke

Sisi Watibeli hata kusingekuwa na shule Kabisa, tusingeshindwa kujua kuwa Mahari ni biashara haramu àmbayo Watu hawapaswi kuifanya. Tunajua Jambo hili Kwa sababu ya HAKI, UKWELI, MAARIFA NA UPENDO.

Huwezi mnunua Mtu bhana tenà Mtu unayempenda Kwa Kile ambacho Mila na desturi potofu zilikiita Mahari ili kupumbaza Watu.

Wanawake hawawezi kuwa na Haki Sawa na Wanaume ilhali waô wananunuliwa kimafungu kama Mbuzi.

Sisi Watibeli hatufanya Vitu kuridhisha Watu hata kama Watu hao ni wazazi wetu, Watoto wetu, ndugu zetu, wake zetu ilhali Vitu hivyo tunajua NI dhulma, ukatili, udhalilishaji, na uovu.

Nafahamu Watu wengi wanajua kuwa Mahari ni biashara haramu lakini hawanabudi kufanya ili kuridhisha Wazazi na ndugu na Mila. Jambo hilo Kamwe Sisi Watibeli hatutafanya.

Watoto wàngu, Jambo lolote ambalo mnajua ni ovu na siô Haki Kamwe msilifanye Kwa lengo la kuniridhisha Mimi Baba Yenu au kumridhisha Mama Yenu.

Wazazi Bila aibu mnakaa mnajadili na kupanga bei ya Binti Yenu. Kisha kijana naye anakuja kutajiwa bei Kisha ati mnashushana bei mara Milioni nne. Mwanaume anasema Nina Milioni Mbili unusu, ooh mnamwambia tatu mwisho kama mnauza tukutuku.

Mimi kama Mtibeli siwezi kufanya wala kujadili uharamu wa namna hiyo.

Kama tunajadili kuhusu kununua Ng'ombe Sawa lakini kununua Mtu sijui Mwanamke alafu mnaleta unafiki kuwa hamuuzi ila NI Mahari sijui shukrani. Shukrani gàni inapangwa na Mpokeaji?

Kwamba ati uniletee Laki tisa kama Shukrani ya kumchukua Binti yàngu. Hivi Akili zenu zinafanya Kazi Sawasawa.

Huyo siô Mimi, hao siô Watibeli. Watibeli hawatoi Mahari wala Binti zetu hawatolewi Mahari. Kwa sababu Binti zetu ni Watu Huru, hawanunuliki.Hatuwezi kuwathaminisha ati huyu nipe kiasi kadhaa nikupatie awe Mkeo.

Mmekubaliana Huko njooni Kwetu Wazazi mjitambulishe, tuwaone na kuwajua, mtujue, tufurahi. Tuwabariki. Full stop!

Watibeli tunatambua adhabu Kwa Watoto wetu. Ikiwa Watoto watakiuka Baadhi ya Sheria mfano wamekutana juu Kwa juu Huko wakabebeshana Mimba pasipo kûja nyumbani kutambulishana ni ruhusa Kwa Wazazi kuwapa adhabu na hiyo adhabu lazima iwahusu watoto wôte wawili, yàani Kijana na Binti wôte lazima wawajibike na siô kumpa adhabu Mtu mmoja. Hiyo ndîo HAKI.

Kumpa adhabu kijana pekee NI dhulma, ukatili, uonevu na hii humfanya kijana awe katika mazîngira ya kuona anammiliki Binti Jambo ambalo siô kwèli. Hii HUFANYA unyanyasaji na ukatili baadaye utokee.

Wamepeana Mimba, wôte wamekosea, kama adhabu NI kutoa Pesa, Basi wôte watoe Pesa mmoja kama ni Laki tano Basi kîla Mtu atoe Laki Mbili unusu. Wakiamua kushirikiana siô kesi Acha washirikiane. Hizô Pesa zipelekwe Kwa familia ya upande Binti na familia ya kijana Nusu Kwa Nusu.

Watu walale Kwa starehe zào Kwa mapenzi Yao alafu ninyi mseme ati Binti Yenu ameharibiwa hivi mnaakili Sawasawa. Binti anayeharibiwa NI Yule àmbaye hajafikia Umri wa Ûtu uzima. Huyo kaharibiwa na Sheria lazima zichukue mkondo wake.

Mabinti msikubali kutolewa Mahari. Vijana msikubali Kutoa Mahari. Wazazi msiuze mabinti zenu.

Unakuta kifamilia kinamnyanyasa Binti Kisa kilimnunua Kwa Milioni Moja.

Binti Fanya Kazi. Kazi ndîo Ûtu wako. Kazi itakufanya uheshimike. Usikubali KUTOLEWA mahari. Ikiwa alikutolea mahari, na unaona anatumia uanaume wake kukunyanyasa, mrudishie mahari Yake.

Usikubali Kupewa talaka Kabla hujarudisha Mahari ya Watu kama alikutolea mahari. Huo ni utapeli. Wewe ulinunuliwa tuu Rudisha mahari ya watu

Oooh! Nilimzalia Watoto hivyo sirudishi Pesa. Ndivyo Akili za Watumwa zilivyo. MTU Huru au mwenye Akili zilizotimia Huwezi kuongea maneno ya ajabu na hovyo namna hiyo. Kwamba ulinunuliwa ili ukazae Sasa Kazi ushafanya hivyo hudaiwi.

Ndîo maana Wanaume Huona Watoto NI HAKI Yao Kwa sababu waliwanunua. Mtoto ni Baba na Mama. Kisayansi na Kiroho. Hata kihaki Ipo hivyo Ila kibiashara Mtoto ni Wa baba Kwa sababu alishamnunua Mwanamke. Kwa wale Wanaofanya hizô biashara haramu.

Hakufanya ubaya na Jambo ambalo tunaliona halipo Sawa kumridhisha yeyote.

Acha nipumzike sasa

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Mkuu mtoto wa watu umchukue bure!?

Una dada!?
 
Sasa mtu kaweka hoja kulingana na imani yake unamuita yuko upande wa uongo, unataka watu wakubali hoja yako ili waitwe wa kweli? utoaji wamahari kwanza ni utamaduni, kila kabila lina namna yake wanavyotoa
Hoja inayopinga kanuni,sheria tamaduni toka enzi na enzi hiyo siyo hoja. Ni USABATO(UBISHI)...
Mtu kavembiwa anatafuta jinsi kusaga chakula.
🚮🚮
 
Kisha uanzishe mjadala mwingine, mtoto kuitwa kwa ubin wa baba ni utumwa wakati mtoto ni wa wote kwanini aitwe Robert Heriel na sio Robert Herieth au Robert Jaquiline

Na wewe iwe kuanzia Leo uwe Robert Herieth na sio Robert Heriel,japo yawezekana ni fictional name na jina lako halisi silifahamu
 
Mwafrika mwenye akili na kujitambua elimi ya kimagharibi haiwezi kumfanya abadili tamaduni zake na kukubali uongo wa kihistoria kama kuwepo kwa vita ya dunia ambayo mwafrika hakuepo ma baadhi ya mataifa ya asia hayakupigana.
UNAPOSOMA ISOMESHE NA AKILI YAKO.
 
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Elimu Kazi yake kûbwa ni kumkomboa Mtu ndiye Mwanamke na Mwanaume kifikra.

Haiwezeniki Mtu kafika chuo Kikuu, amesoma degree au katika chuo cha Kati akasoma stashahada akaibusti Akili Yake Akaelimika alafu Wakati wa kuchumbia au Kuoa au kuolewa akakubali Kutoa au kutolewa mahari.

Mtu aliyesoma au Mtu yeyote àmbaye akili yake Iko Huru na inachaji hawezi kushindwa kujua kuwa mahari ni biashara haramu ya kumnunua Mwanamke

Sisi Watibeli hata kusingekuwa na shule Kabisa, tusingeshindwa kujua kuwa Mahari ni biashara haramu àmbayo Watu hawapaswi kuifanya. Tunajua Jambo hili Kwa sababu ya haki, ukweli, maarifa na upendo.

Huwezi mnunua Mtu bhana tenà Mtu unayempenda Kwa Kile ambacho Mila na desturi potofu zilikiita Mahari ili kupumbaza Watu.

Wanawake hawawezi kuwa na Haki Sawa na Wanaume ilhali waô wananunuliwa kimafungu kama Mbuzi.

Sisi Watibeli hatufanya Vitu kuridhisha Watu hata kama Watu hao ni wazazi wetu, Watoto wetu, ndugu zetu, wake zetu ilhali Vitu hivyo tunajua NI dhulma, ukatili, udhalilishaji, na uovu.

Nafahamu Watu wengi wanajua kuwa Mahari ni biashara haramu lakini hawanabudi kufanya ili kuridhisha Wazazi na ndugu na Mila. Jambo hilo Kamwe Sisi Watibeli hatutafanya.

Watoto wàngu, Jambo lolote ambalo mnajua ni ovu na siô Haki Kamwe msilifanye Kwa lengo la kuniridhisha Mimi Baba Yenu au kumridhisha Mama Yenu.

Wazazi Bila aibu mnakaa mnajadili na kupanga bei ya Binti Yenu. Kisha kijana naye anakuja kutajiwa bei Kisha ati mnashushana bei mara Milioni nne. Mwanaume anasema Nina Milioni Mbili unusu, ooh mnamwambia tatu mwisho kama mnauza tukutuku.

Mimi kama Mtibeli siwezi kufanya wala kujadili uharamu wa namna hiyo.

Kama tunajadili kuhusu kununua Ng'ombe Sawa lakini kununua Mtu sijui Mwanamke alafu mnaleta unafiki kuwa hamuuzi ila NI Mahari sijui shukrani. Shukrani gàni inapangwa na Mpokeaji?

Kwamba ati uniletee Laki tisa kama Shukrani ya kumchukua Binti yàngu. Hivi Akili zenu zinafanya Kazi Sawasawa.

Huyo siô Mimi, hao siô Watibeli. Watibeli hawatoi Mahari wala Binti zetu hawatolewi Mahari. Kwa sababu Binti zetu ni Watu Huru, hawanunuliki.Hatuwezi kuwathaminisha ati huyu nipe kiasi kadhaa nikupatie awe Mkeo.

Mmekubaliana Huko njooni Kwetu Wazazi mjitambulishe, tuwaone na kuwajua, mtujue, tufurahi. Tuwabariki. Full stop!

Watibeli tunatambua adhabu Kwa Watoto wetu. Ikiwa Watoto watakiuka Baadhi ya Sheria mfano wamekutana juu Kwa juu Huko wakabebeshana Mimba pasipo kûja nyumbani kutambulishana ni ruhusa Kwa Wazazi kuwapa adhabu na hiyo adhabu lazima iwahusu watoto wôte wawili, yàani Kijana na Binti wôte lazima wawajibike na siô kumpa adhabu Mtu mmoja. Hiyo ndîo haki.

Kumpa adhabu kijana pekee ni dhulma, ukatili, uonevu na hii humfanya kijana awe katika mazîngira ya kuona anammiliki Binti Jambo ambalo siô kwèli. Hii hufanya unyanyasaji na ukatili baadaye utokee.

Wamepeana Mimba, wôte wamekosea, kama adhabu NI kutoa Pesa, Basi wôte watoe Pesa mmoja kama ni Laki tano Basi kîla Mtu atoe Laki Mbili unusu. Wakiamua kushirikiana siô kesi Acha washirikiane. Hizô Pesa zipelekwe Kwa familia ya upande Binti na familia ya kijana Nusu Kwa Nusu.

Watu walale Kwa starehe zào Kwa mapenzi Yao alafu ninyi mseme ati Binti Yenu ameharibiwa hivi mnaakili Sawasawa. Binti anayeharibiwa NI Yule àmbaye hajafikia Umri wa Ûtu uzima. Huyo kaharibiwa na Sheria lazima zichukue mkondo wake.

Mabinti msikubali kutolewa Mahari. Vijana msikubali Kutoa Mahari. Wazazi msiuze mabinti zenu.

Unakuta familia inamnyanyasa Binti Kisa ilimnunua Kwa Milioni Moja.

Binti Fanya Kazi. Kazi ndîo Ûtu wako. Kazi itakufanya uheshimike. Usikubali kutolewa mahari. Ikiwa alikutolea mahari, na unaona anatumia uanaume wake kukunyanyasa, mrudishie mahari Yake.

Usikubali Kupewa talaka Kabla hujarudisha Mahari ya Watu kama alikutolea mahari. Huo ni utapeli. Wewe ulinunuliwa tuu Rudisha mahari ya watu

Oooh! Nilimzalia Watoto hivyo sirudishi Pesa. Ndivyo Akili za Watumwa zilivyo. Mtu Huru au mwenye Akili zilizotimia Huwezi kuongea maneno ya ajabu na hovyo namna hiyo. Kwamba ulinunuliwa ili ukazae Sasa Kazi ushafanya hivyo hudaiwi.

Ndîo maana Wanaume Huona Watoto ni haki Yao Kwa sababu waliwanunua. Mtoto ni Baba na Mama. Kisayansi na Kiroho. Hata kihaki Ipo hivyo Ila kibiashara Mtoto ni Wa baba Kwa sababu alishamnunua Mwanamke. Kwa wale Wanaofanya hizô biashara haramu.

Hakufanya ubaya na Jambo ambalo tunaliona halipo Sawa kumridhisha yeyote.

Acha nipumzike sasa

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
🙄🤔🤫
 
Mimi ni Mtibeli

Nimekuambia chukulia Hakuna Dini, chukulia hujasoma kabisa.
Tumia Akili yako ya kuzaliwa kuelezea ulazima wa Mahari (kumnunua Mwanamke) na umuhimu wake.

Hivyo tuu.

Au unategemea mawazo ya Wengine katika Hilo?
Mkuu Mtiberi kiongozi unatuangusha watiberi wenzio, waambie wana jukwaa kuwa huu ni mtazamo wako binafsi sio wa watiberi.

Mahari ni desturi muhimu katika ukoo au Jumuiya ya watiberi kama ilivyokuwa na ilivyo kwa wayahudi bila kujali elimu, imani, hadhi au cheo.

Ndio maana kwa watiberi Mahari ni muhimu na haiishi, sio biashara na wala sio haramu.

Kwa Watiberi Mahari lazima itolewe na muoaji. Na vivyo hivyo ni lazima vijana wetu wa Kitiberi watoe Mahari kokote wanapooa.

Mkuu kama watiberi wenzio tunaheshimu mtizamo na michango yako ila katika hili usitusemee!!!

Kiongozi subiri mabinti zako wakue uwaoze bila mahari!!
 
Kwamba kama umenunua Ng'ombe Ikawa inatoa maziwa na faîda ya kutosha unawaza hiyo Ng'ombe ungetoa zaidi ya Pesa uliyomnunulia huyo Ng'ombe?

Mke hatolewi mahari (hanunuliwi) ila mtumwa ananunuli
Unajua jambo moja linaweza kuwa na tafsiri zaidi ya moja. Negative au positive so ni hiyari ya mtu kuamua anavotaka yeye ikiwa kama utaamua kutoa Mahari na ukaiita ndio bei ya mkeo ni hiyari yako.
 
Mimi ni Mtibeli

Nimekuambia chukulia Hakuna Dini, chukulia hujasoma kabisa.
Tumia Akili yako ya kuzaliwa kuelezea ulazima wa Mahari (kumnunua Mwanamke) na umuhimu wake.

Hivyo tuu.

Au unategemea mawazo ya Wengine katika Hilo?
Ndio maana siku zote huwa naongea kabisa kuwa wewe ni punga
 
Back
Top Bottom