Mtu aliyesoma akaelimika akakombolewa kifikra hawezi Kutoa au kutolewa Mahari

Mtu aliyesoma akaelimika akakombolewa kifikra hawezi Kutoa au kutolewa Mahari

Biashara ya mahari ni biashara ya binadamu
 
Mimi kwa mtazamo wangu mahari si jambo baya na sio biashara.....ni zawadi ya heshima kwa binti na familia yake kwa matunzo , malezi, kwa binti yao.......

Mahari ni alama ya heshima, upendo na shukrani kwa upande wa mwanaume kwenda kwa upande wa mwanamke.........

Kwangu naona sio jambo baya......ndio maana kila jamii ina utaratibu wake wa kulipa mahari kulingana na utamaduni wao...na wote hufurahikia jambo hilo.........

Mwanamke ni wa heshima, mwanamke ni wa thamani.......
 
"Wazazi Bila aibu mnakaa mnajadili na kupanga bei ya Binti Yenu. Kisha kijana naye anakuja kutajiwa bei Kisha ati mnashushana bei mara Milioni nne. Mwanaume anasema Nina Milioni Mbili unusu, ooh mnamwambia tatu mwisho kama mnauza tukutuku."
 
Mtibeli, tafuta hela kaka. Maandishi mareefu hayana maana yoyote, tafuta pesa
 
Back
Top Bottom