Mtu aliyesoma akaelimika akakombolewa kifikra hawezi Kutoa au kutolewa Mahari

Mahari sio biashara na Ina majina yake kwa kila kabila na ni utamaduni wa kiafrka na vikao vya mahari vina utaeatibu wake.biashara pia Ina utaeatibu wake.
 
Acha tu tufuate tamaduni zetu za enzi za mawe ulimbombo na ulindi ili wakuone wewe mwanaume lipa ng'ombe
 
Kilakitu katika jamii ni makubaliano au hata sheria lazima mkubaliane na hayo makubaliano sio lazima yawe sahihi.
 
Mleta mada usitake kuona wewe una Akili kuliko walioweka mahari na inavyoonekana wewe ni Team kataa Ndoa ila ni kwa Mlango wa nyuma kwa maana ndoa bila mahari hiyo haiwezi kuwa Ndoa kwa Akili yako hata Wachezaji wa mpila wa miguu haitakiwi wasajiliwe kwa Pesa maana ni kuwafanya Watumwa.Mwanamke akichukuliwa For Free Atapoteza Thamani ya ule Uwanamke wake tukuulize wewe na huo utibeli wako umepita sehemu watu wanaghaiwa nguo na wewe ukapewa shati ukarudi nalo nyumbani na kuna siku ukafanya kazi ukapata Pesa ukaenda kununua shati dukani haya kwenye haya mashati ni lipi utakuwA unajivunia nalo na kulipa thamani?
 
Mkuu mtoto wa watu umchukue bure!?

Una dada!?
 
Sasa mtu kaweka hoja kulingana na imani yake unamuita yuko upande wa uongo, unataka watu wakubali hoja yako ili waitwe wa kweli? utoaji wamahari kwanza ni utamaduni, kila kabila lina namna yake wanavyotoa
Hoja inayopinga kanuni,sheria tamaduni toka enzi na enzi hiyo siyo hoja. Ni USABATO(UBISHI)...
Mtu kavembiwa anatafuta jinsi kusaga chakula.
🚮🚮
 
Kisha uanzishe mjadala mwingine, mtoto kuitwa kwa ubin wa baba ni utumwa wakati mtoto ni wa wote kwanini aitwe Robert Heriel na sio Robert Herieth au Robert Jaquiline

Na wewe iwe kuanzia Leo uwe Robert Herieth na sio Robert Heriel,japo yawezekana ni fictional name na jina lako halisi silifahamu
 
Mwafrika mwenye akili na kujitambua elimi ya kimagharibi haiwezi kumfanya abadili tamaduni zake na kukubali uongo wa kihistoria kama kuwepo kwa vita ya dunia ambayo mwafrika hakuepo ma baadhi ya mataifa ya asia hayakupigana.
UNAPOSOMA ISOMESHE NA AKILI YAKO.
 
🙄🤔🤫
 
Mimi ni Mtibeli

Nimekuambia chukulia Hakuna Dini, chukulia hujasoma kabisa.
Tumia Akili yako ya kuzaliwa kuelezea ulazima wa Mahari (kumnunua Mwanamke) na umuhimu wake.

Hivyo tuu.

Au unategemea mawazo ya Wengine katika Hilo?
Mkuu Mtiberi kiongozi unatuangusha watiberi wenzio, waambie wana jukwaa kuwa huu ni mtazamo wako binafsi sio wa watiberi.

Mahari ni desturi muhimu katika ukoo au Jumuiya ya watiberi kama ilivyokuwa na ilivyo kwa wayahudi bila kujali elimu, imani, hadhi au cheo.

Ndio maana kwa watiberi Mahari ni muhimu na haiishi, sio biashara na wala sio haramu.

Kwa Watiberi Mahari lazima itolewe na muoaji. Na vivyo hivyo ni lazima vijana wetu wa Kitiberi watoe Mahari kokote wanapooa.

Mkuu kama watiberi wenzio tunaheshimu mtizamo na michango yako ila katika hili usitusemee!!!

Kiongozi subiri mabinti zako wakue uwaoze bila mahari!!
 
Kwamba kama umenunua Ng'ombe Ikawa inatoa maziwa na faîda ya kutosha unawaza hiyo Ng'ombe ungetoa zaidi ya Pesa uliyomnunulia huyo Ng'ombe?

Mke hatolewi mahari (hanunuliwi) ila mtumwa ananunuli
Unajua jambo moja linaweza kuwa na tafsiri zaidi ya moja. Negative au positive so ni hiyari ya mtu kuamua anavotaka yeye ikiwa kama utaamua kutoa Mahari na ukaiita ndio bei ya mkeo ni hiyari yako.
 
Mimi ni Mtibeli

Nimekuambia chukulia Hakuna Dini, chukulia hujasoma kabisa.
Tumia Akili yako ya kuzaliwa kuelezea ulazima wa Mahari (kumnunua Mwanamke) na umuhimu wake.

Hivyo tuu.

Au unategemea mawazo ya Wengine katika Hilo?
Ndio maana siku zote huwa naongea kabisa kuwa wewe ni punga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…