Na watu mashuhuru duniani wataandika ku-document tukio hill litaloweza pia kuja kutumia kama reference kwa vizazi vijavyo.
Ile nguvu ya umma kama bado munayo itumieni.Kama wakishirikiana na CCM kwa usimamizi na utekelezaji wa vyombo vya dola..... Peke yao hawana nguvu
Na ndivyo itavyokuwa mkuu.Nina hakika Mkuu vyombo vya habari mbali mbali duniani vitaufuatilia uchaguzi huu kwa karibu sana.
Mmezoea kushinda kwa kupoka ushindi wa wengine. Ila kwa taarifa yenu ni kuwa mwaka huu ndo mwisho kwa nyie kufanya huo ufedhuli wenu . Kura zihesabiwe kwa haki na mshindi apewe ushindi wake. Vinginevyo nguvu ya umma kaziniHuyu ni mnafiki, leo kakiri kuwa walimpokea EL kwa kuaminishwa ni mgombea mwenye mabilioni. Wakawasaliti wahanga walio wadanganya kuandansna na kuishia kuwa Vilema na wengine kufa. Wajumbe eti wanamshangia huku hotuva yake ikiwa imejaa shari. Anaandaa wahanga wengine watarajiwa.
Kwa hii hotuba yake anamini yeye tayari ni mshindi na asiposhinda madhumuni yake nikuingiza nchi kwenye machafuko. Ndio mafunzo aliyofundishwa huko alipotoka. Watu wanamshangilia.!!!
Labda kwa mtutu kukabidhiwa nchi ni ngumu sana
JPM hasipotumia kofia yake kama Rais atagalagazwa chaliiiii saa 4 asubuhi siku ya uchaguzi.Huu ndo unaoitwa uchaguzi wa watani wa jadi.
JPM vs TAL na siyo CCM vs CDM maana wengi watasaliti vyama vyao.
Natamani wapate kisukari, BP, Malaria washindwe kutibika wakufie mbali sema Mwamba kasema tuwasameheHili ndio swali ambalo kila mtu mwenye kufikiri na kuwaza kwa mapana anapaswa kujiuliza.
Yaani wanadamu wanapanga kukua, na sio kupanga kukuua tu,bali inadaiwa walipanga hata msiba huo na mazishi yake yaweje, lakini Mungu akaingilia kati na kumuokoa muhusika, na leo hii mtu huyo anakuwa mgombea wa uraisi!!Je,ni hivi hivi tu au kuna kusudio la Mungu nyuma yake?
Tuache muda utajibu, ingawa wengi ni wagumu kusadiki kama walivyokuwa wagumu kusadiki kwamba angerejea nchini.
Wanadamu ndio mjue kuna mwenye mamlaka kuwazidi, na anaendelea kuwaonyesha kuwa yeye ni alpha na omega.
Mnyima haki ya watu kuishiSema ambaye wenye Sacco's walimtwanga mablankoo wamerudi kinyumenyume kumfanya mgombea wao! Wasije tu wakawa na agenda naye nyingine...maana so kwa genge Hilo!
Sio kirahisi ivyo, wee unadhani nchi ni Kama TLS eheeTundu Lissu anabeba nchi saa2 asubuhi, mataga wajipange
Huyu ni mnafiki, leo kakiri kuwa walimpokea EL kwa kuaminishwa ni mgombea mwenye mabilioni. Wakawasaliti wahanga walio wadanganya kuandamana na kuishia kuwa Vilema na wengine kufa. Wajumbe eti wanamshangilia huku hotuba yake ikiwa imejaa shari. Anaandaa wahanga wengine watarajiwa.
Kwa hii hotuba yake ana amini yeye tayari ni mshindi na asiposhinda madhumuni yake nikuingiza nchi kwenye machafuko. Ndio mafunzo aliyofundishwa huko alipotoka. Watu wanamshangilia.!!!
Kwahiyo unapenda kuishi kwenye n hi ya utekaji mateso na ubabe?Sio kirahisi ivyo, wee unadhani nchi ni Kama TLS ehee
NiYeye!!!!!!!!Hili ndio swali ambalo kila mtu mwenye kufikiri na kuwaza kwa mapana anapaswa kujiuliza.
Yaani wanadamu wanapanga kukua, na sio kupanga kukuua tu,bali inadaiwa walipanga hata msiba huo na mazishi yake yaweje, lakini Mungu akaingilia kati na kumuokoa muhusika, na leo hii mtu huyo anakuwa mgombea wa uraisi!!Je,ni hivi hivi tu au kuna kusudio la Mungu nyuma yake?
Tuache muda utajibu, ingawa wengi ni wagumu kusadiki kama walivyokuwa wagumu kusadiki kwamba angerejea nchini.
Wanadamu ndio mjue kuna mwenye mamlaka kuwazidi, na anaendelea kuwaonyesha kuwa yeye ni alpha na omega.
NiyeyeeeNiYeye!!!!!!!!
Wezi wa kura ninyi, safari hii tunakwenda bampa to bampa.Labda kwa mtutu kukabidhiwa nchi ni ngumu sana
Wengine wanakabidhi ofsn wengine wako kaburini. Mungu ni waajabu sana.Hili ndio swali ambalo kila mtu mwenye kufikiri na kuwaza kwa mapana anapaswa kujiuliza.