BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Nina hakika Mkuu vyombo vya habari mbali mbali duniani vitaufuatilia uchaguzi huu kwa karibu sana.
Na watu mashuhuru duniani wataandika ku-document tukio hill litaloweza pia kuja kutumia kama reference kwa vizazi vijavyo.