wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Ok tuombe uzimaWezi wa kura ninyi, safari hii tunakwenda bampa to bampa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok tuombe uzimaWezi wa kura ninyi, safari hii tunakwenda bampa to bampa.
Pamoja na hayo huyo mwenyekiti wa tume labda akatangazie matokeo nchi nyingine.Kama ni hivyo ina maana yanayofanyika ni maigizo siyo...!?
Hili ndio swali ambalo kila mtu mwenye kufikiri na kuwaza kwa mapana anapaswa kujiuliza.
Yaani Wanadamu wanapanga kukua, na sio kupanga kukuua tu, bali inadaiwa walipanga hata msiba huo na mazishi yake yaweje, lakini Mungu akaingilia kati na kumuokoa muhusika, na leo hii mtu huyo anakuwa Mgombea wa Uraisi
Je, ni hivi hivi tu au kuna kusudio la Mungu nyuma yake?
Tuache muda utajibu, ingawa wengi ni wagumu kusadiki kama walivyokuwa wagumu kusadiki kwamba angerejea nchini.
Wanadamu ndio mjue kuna mwenye mamlaka kuwazidi, na anaendelea kuwaonyesha kuwa yeye ni alpha na omega.
Me namkubali sana Lissu ila Wewe jamaa unapenda sana kujifariji na bahati mbaya Chadema uchaguzi huu haitapata hata kura laki 5 achilia mbali kiti cha ubunge
Mnajipa matokeo mkishindwa muwanze kulialia vyombo vya nje viingilie.
Uzeeni sera. Lissu hawezi endesha nchi kwa hoja ya kupigwa risasi.
Pamoja na hayo huyo mwenyekiti wa tume labda akatangazie matokeo nchi nyingine.
Kwa kifupi katiba ndio utakayowasumbua upinzani . Haiwekani viongozi wote wa tume wateukiwe na rais alafu eti hao hao wamtangaze mtu mwingine.
TAL ana nia na maadui wanao julikana, hata na watoto wadogo! Usiturudishe kwenye asilimia mia zako za gizani wakati ukweli upo wazi! Kama alikua tayari kufa ili kutufumbulia yaliyo fichwa, tupate wapi tena mtu kama huyu wa kuuongoza taifa letu????? #sasabasiNimesema huo ni uwezekano pia, hakuna mtu anayejua kwa nini Mungu anafanya anavyofanya, isitoshe maisha ya mtu ni siri ya mtu na Mungu, wote hatujui kwa nini kilimpata kilichompata, inawezekana akawa hana hatia na kwamba wabaya walitaka tu kumdhuru bila ya sababu ambapo ni mara chache sana hilo hutokea kwamba imetokea tu akawa victim of circumstances na inawezekana pia ana hatia na waliomdhuru walitaka to get even, hakuna anayejua isipokuwa yeye mwenyewe, usiamini Binadamu usiyemjua kwa 100% kirahisi namna hiyo, siku ukija kuujua ukweli inaweza kukufanya ukapoteza imani na humanity, hivyo siku zote kama jambo haulijui undani wake usiamini kwa 100%, ...
Huyo ndo Yesu Kristu wa Kweli Sasa (Achana na Yule feki) kutoka jamhuri ya Push
Mafarisayo,Masadukayo hawakutaka Yesu Aishi... Wakamdhihaki ,wakampiga wakamuwamba mtini....Ila siku ya Tatu akafufuka,akapaa Juu Mbinguni
Inawezekana muujiza kweli haupo hapo kwenye mipango ya miaka, lakini kutokufa kwa Lisu siyo man making! Huwezi kutengeneza hiyo, na hii mipango/fursa yenye umri wa miaka mitatu sasa, ina mkono wa Mungu!Binadamu wate walio hai, wanafikiri na mawazo, lakini hua yanatofautiana, na sio lazima tuwe na fikra moja na maono ya namna moja, even TWINS can differ in thoughts.
Kuna mambo mengine tunamsingizia Mungu lakini ni mambo na mbinu za mwanadamu, Mungu ametupa akili tofauti na wanyama wengine.
walio pamga kumuuwa LISSU walikuwa binadamu wenye nia Mbaya, na sasa wanaojenga UMAARUFU wake ni wanadamu waliokaa na wakafirikia vizuri namna ya kuitumia nafasi/fursa hii na kuzitumia Huruma za watanzania ili kukiletea manufaa Chama chao na Lissu mwenyewe. So this is a Human plan, na wameitumia vizuri na kwa ufanisi. Tusijaribu kulifanya ni Tendo la Miujiza, Hapana sio Miujiza, bali ni Proper & Intelligent Planing iliyopikwa kwa miaka mitatu, na mipango ilikuwa ni mingi sana, hii ya leo ndiyo iliyofanikiwa. Hata ACT walitayarisha plan yao iwapo angeamua kujiunga nao.
Sio ukweli kuwa wengi hatukuamini kuwa LISSU atarudi, Jilo lilikuwa Wajibu wake kuwajuza watu, na uwezo au uamuzi wa kurudi au kuwa Mkimbizi.
Sumu wewe ndio inakuhusu subiria uwone iyo show utablow. trust meKunywa sumu ufe!
Hana uthubutu huo kwanzaKama akitangaza kuwa mwingine kashinda pale Mwl Nyerere hall, atangazwe Lissu hivi hao wengine, magu na washirika wake watamfanyaje mwenyekiti maana tunajua akishatangazwa mshindi ndio basi..!
Wataenda mahakani au watalala barabarani, au nini watafanya haswa... watamfunga, kumteka ama...!?!!
[emoji848]
Hebu tuwe tu wa kweli.Pamoja na hayo huyo mwenyekiti wa tume labda akatangazie matokeo nchi nyingine.
Kwa kifupi katiba ndio utakayowasumbua upinzani . Haiwekani viongozi wote wa tume wateukiwe na rais alafu eti hao hao wamtangaze mtu mwingine.
Zinaweza kutua hata 20 Bullets mwilini na usife... ila Trust me, it only takes One Bullet to kill a person. Sema sasa inategemea hiyo risasi imelenga wapi.Halafu kuna watu wanasema hakuna Mungu! Risasi moja ya SMG inaua tembo lakini 16 hazikuua mtu lazima ni Mungu.
Na kama Mungu akipenda hata jiwe la changarawe linakuondosha kama David alivyomdondosha goliati. Acheni Mungu aitwe Mungu!
Ukimsikiliza Tundu Lissu anaongea zaidi kwa huzuni kuliko hasira sio kama anavyofanya mpinzani wake meko.Hili ndio swali ambalo kila mtu mwenye kufikiri na kuwaza kwa mapana anapaswa kujiuliza.
Yaani Wanadamu wanapanga kukua, na sio kupanga kukuua tu, bali inadaiwa walipanga hata msiba huo na mazishi yake yaweje, lakini Mungu akaingilia kati na kumuokoa muhusika, na leo hii mtu huyo anakuwa Mgombea wa Uraisi
Je, ni hivi hivi tu au kuna kusudio la Mungu nyuma yake?
Tuache muda utajibu, ingawa wengi ni wagumu kusadiki kama walivyokuwa wagumu kusadiki kwamba angerejea nchini.
Wanadamu ndio mjue kuna mwenye mamlaka kuwazidi, na anaendelea kuwaonyesha kuwa yeye ni alpha na omega.
Wauaji wake wanaona aibu kubwa sn na damu ya jamaa inawatesa vibaya snHili ndio swali ambalo kila mtu mwenye kufikiri na kuwaza kwa mapana anapaswa kujiuliza.
Yaani Wanadamu wanapanga kukua, na sio kupanga kukuua tu, bali inadaiwa walipanga hata msiba huo na mazishi yake yaweje, lakini Mungu akaingilia kati na kumuokoa muhusika, na leo hii mtu huyo anakuwa Mgombea wa Uraisi
Je, ni hivi hivi tu au kuna kusudio la Mungu nyuma yake?
Tuache muda utajibu, ingawa wengi ni wagumu kusadiki kama walivyokuwa wagumu kusadiki kwamba angerejea nchini.
Wanadamu ndio mjue kuna mwenye mamlaka kuwazidi, na anaendelea kuwaonyesha kuwa yeye ni alpha na omega.
Je hawa watu wanaouawawa kila siku duniani kote vipi, Je kwa hiyo Mungu amependa wao wafe?Maisha ya Mwanadamu yako mikononi mwa Mungu
SwadaktaJibu ni moja tu, Mungu anataka huyo mtu awe raisi ili kuwaonesha wabaya wake kuwa Analopanga yeye Mungu ndo hutimia