shikamkono01
JF-Expert Member
- Mar 26, 2016
- 685
- 2,055
uwezo wa kupambanua mambo umetofautiana na sikubishii ila sheria na fikira ni mambo mawili tofauti,mwandishi anakiri kuwa pameuzwa na aliyeuza yupo je kiburi chake ni nini?Kununua tu eneo lenye kaburi hicho ni kiburi mkuu