Mtu amejenga tulipomzika babu yetu. Tufanye nini kupata mwili wa baba yetu tukauzike pengine?

Kununua eneo lenye kaburi ni kiburi swali je alipomoa msalaba? Maana ukibomoa msalaba ni kesi unatafuta
Ukinunua eneo lenye nyumba halafu ukaibomoa hiyo nyumba ni kesi?
Kubomoa kaburi itakuwa ni kesi kama kaburi hilo lilikiwa katika eneo rasmi la makaburi.
 
uwezo wa kupambanua mambo umetofautiana na sikubishii ila sheria na fikira ni mambo mawili tofauti,mwandishi anakiri kuwa pameuzwa na aliyeuza yupo je kiburi chake ni nini?
Kununua eneo analojua kabisa hapa tumezika baba wa wenzangu
 
Hii inaonyesha nyie ndiye wenye makosa. Kwa nini mlisubiri ajenge mpaka amalize ndiyo mnataka kufukua? Mtabomoa hiyo nyumba kabla ya kufukuwa au mtafanyaje?
 
Ukinunua eneo lenye nyumba halafu ukaibomoa hiyo nyumba ni kesi?
Kubomoa kaburi itakuwa ni kesi kama kaburi hilo lilikiwa katika eneo rasmi la makaburi.
Sijasema nyumba nimesema msalaba kaburini unaelewa maana ya msalaba kaburini yaan unaona kabisa hapa kuna msalaba kuna kaburi ila wewe unaitisha greda unabomoa msalaba ndugu unatafuta kesi na kanisa maana hio kesi sio ya mwenye kaburi tu kanisa zima litakushukia
 
Kununua eneo lenye kaburi ni kiburi swali je alipomoa msalaba? Maana ukibomoa msalaba ni kesi

wakati hayo mambo yanafanyika sie tulikuwa wadogo sana na tulikuwa tunaishi upande wa mama, utu uzimani sasa ndo tumejua haya kupitia ndugu wa baba na kaka yetu mkubwa ambae nae anasema huyo mzee wakati anauza alikuwa mdogo
 
Tembelea hapa. Mama Samia Legal Aid Campaign utapata msaada

Samia ameshindwa kutetea uhai wa watanzania, wanauliwa hovyo, atatetea haki zao? Huu ni uchafu kama uchafu mwingine. Nchi imeshamshinda anajaribu kutumia survive technics za kughilibu wananchi.
 
Wapotezee tuu
 
Umeendelea kusoma hadi mwisho? Halafu kumbuka hilo eneo lilishauzwa ? Sasa Msalaba unamhusu nini mnunuzi?
Moja ya changamoto ya kuzika majumbani ni hiyo, siku eneo likiuzwa, mnunuzi anakuwa na haki zote na eneo lake.
 
wakati hayo mambo yanafanyika sie tulikuwa wadogo sana na tulikuwa tunaishi upande wa mama, utu uzimani sasa ndo tumejua haya kupitia ndugu wa baba na kaka yetu mkubwa ambae nae anasema huyo mzee wakati anauza alikuwa mdogo
Ushauri wangu ni nyie kuachana na hilo jambo kwa sababu halina faida yoyote. Kama kuna nyumba, mtaibomoa ndiyo mfukuwe? Kwanza nyumba kujengwa juu ya kaburi inaweza kuwa njia nzuri zaidi ya kumwenzi marehemu.
 
Tembelea hapa. Mama Samia Legal Aid Campaign utapata msaada

Aliyebuni hii Samia legal aid ni kuchezea pesa za umma tu.mahakama zinakazi gani Sasa hadi aanzishe kichaka Cha kula pesa za umma kuwanufaisha chawa wake?Huyu kiongozi hatufai kabisa watanzania
 
Umeendelea kusoma hadi mwisho? Halafu kumbuka hilo eneo lilishauzwa ? Sasa Msalaba unamhusu nini mnunuzi?
Moja ya changamoto ya kuzika majumbani ni hiyo, siku eneo likiuzwa, mnunuzi anakuwa na haki zote na eneo lake.
Wewe ushawahi kununua kaburi lenye msalaba juu na ukalibomoa sababu halikuhusu wewe mnunuzi ukafurahia show?
 
Kakaenu nae alikua mdogo sana?

Na nyie pia mlikua wadogo sana?

Maana yake hamjui km ni kweli au sio kweli?

Ndugu gani wa baba Shangazi au Bibi?
hao ndugu ni baba wadogo wengine ukiacha huyo bwana alouza eneo, kaka yetu si kuwa alikuwa mdogo kivile bali ni timing tu za yule bwana, yani anakuja kustuka pameuzwa na yeye alikuwa anaishi mjini na mama yake mzazi. yani aliwazunguka hadi kaka zake wakubwa huyo baba mdogo, na kuhusu sisi hatujaonana nao toka tuna mwaka mmoja yani hatujakaa na ndugu upande wa baba
 
wakati hayo mambo yanafanyika sie tulikuwa wadogo sana na tulikuwa tunaishi upande wa mama, utu uzimani sasa ndo tumejua haya kupitia ndugu wa baba na kaka yetu mkubwa ambae nae anasema huyo mzee wakati anauza alikuwa mdogo
Poleni sana. Msishindane naye huyo, anajua anachokifanya na anafanya kwa makusudi.
Cha msingi watafuteni wazee wa eneo hilo wawasaidieni ikiwemo serikali ya mitaa/kijiji
Kimaadili na kiutamaduni ana wajibu wa kuwaruhusu mkafukue na kuhamisha mabaki ya wapendwa wenu.
Hata serikali inapoamua kufanya shughuli za maendeleo kwenye maeneo yenye makaburi hutumia busara na wajibu wa kiutamaduni na kimaadili kwa kuhamisha kwanza makaburi ndipo inaendelea na projects zake.
 
Aliyebuni hii Samia legal aid ni kuchezea pesa za umma tu.mahakama zinaka,I Gani Sasa Hadi aanzishe kichaka Cha kula pesa za umma Kwa chawa wake.Huyu kiongozi hatufai kabisa watanzania
Tayari tayari kishanuka sihasa
 
Sasa wanajua kitofali na chungu kilipo au eneo la kaburi waliweka uzio kuzunguka alipozikiwa marehemu? Au watachimbachimba tu kila sehemu kuisaka mifupa ilipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…