Wakati yote yanayokea, wao walikuwa wadogo.Hicho chumba nimeuliza km wanajua kwanini hawakutoa kabla hajajenga au mpaka leo kwenye hicho chumba kuna chungu na kitofali?
umenena vyema sana,wakibomoa na wakijenga ile pesa yote waliyouza eneo italingana ma yakujengea,watakuwa wanamsumbua marehemu🤣🤣🤣''Kuuzwa kinyemela'' ina maana gani hapa? Je, aliyeuza hakuwa na haki ya kuuza? Kama alikuwa na haki ya kuuza huwezi kusema kuwa aliuza kinyemela. Anyways, suala lako lina mashiko zaidi kwenye mambo ya ''ubinadamu, mila na desturi'' kuliko sheria. Yaani ni kuwa huyo aliyeuza nahuyo aliyenunua wameonyesha hawana utu na hawazingatii mila na desturi ila kisheria hawana makosa yoyote. Kuna swali moja ambalo hujalijibu: Akiwakubalia kufukuwa huo mwili, hiyo nyumba aliyojenga mtabomoa kabla ya kufukuwa? Na mkibomoa, baada ya kufukuwa, mtaijenga?
Waliofanya uzembe ni hao ndugu waliowaambia pale kuna kaburi na wakati panajengwa wao walikuwepo hawakwenda kuondoa mabaki walikua wanasubiria nini ajenge amalize ndio waende kumwambia chumba hiki kina kaburi tunataka kufukua?Wakati yote yanayokea, wao walikuwa wadogo.
Sasa hivi wamekuwa ndiyo wameona kuna namna wanatakiwa kuchukua hatua.
Kwakuwa jamaa ameshajenga juu ya hayo makaburi hakuna namna tena, waachane na hilo swala waendelee na maisha yao.