Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Kweli aisee ila hizi biashara za hawa watu zinafikirisha mno.Kuishi mjini akili. Kikubwa hakuna mtu anafanya biashara isiyo na faida.
Na mtu analipia mkwanja mnene kwa mwenye pango na TRA 😁😁Biashara za Kinondoni,Sinza na hat Makumbusho sizikuumize kichwa.Kuna duka lipo sehem moja kati ya nilizotaja hapo panauzwa soksi za kiume tu huoni mteja akiingia wala kutoka
Mkuu zingine mbona mchongo unajulikana fresh ila direct kwa wahusika tu, binafsi mwanzoni Kuna sehemu nkiagizwa nashangaaa nakuta picha yangu naikuta nlipoagizwa... Sasa hyo office kwa nje wanauza kingine kbs zama ndani utajua hujui!Hakuna mhusika atakaekuja hapa ku unlock hiyo pattern mzee baba. Biashara kila mtu ana siri yake inayomfanya atambe mjini. Utalielewa hili siku ukiwa mfanya biashara.
Neno sahihi ni ku " laundry" pesa.That is the best way to rinse their money .
Umewahi kukaa na watu wa kitengo kile ambao hutumika Kutoa uwa...na kute....meona Maisha yao na biashara hufanya ???
Mjini mishe haram ni nyingi sana ila wachache ndio wanajua hiloMkuu zingine mbona mchongo unajulikana fresh ila direct kwa wahusika tu, binafsi mwanzoni Kuna sehemu nkiagizwa nashangaaa nakuta picha yangu naikuta nlipoagizwa... Sasa hyo office kwa nje wanauza kingine kbs zama ndani utajua hujui!
Na yale ya Sinza na Mbezi ya chiniMaduka ya kinondoni na mwananyamala hayoo
Nakubaliana na wewe mkuu nashangaa watu wengi humu wanaamini uchawi kuliko uhalisia1. Kuna online marketing, mteja anafika bei kuna mtu wa delivery anapeleka mzigo incase mteja anakosa kuamini anakuja sasa kwenye hizo ofisi ambazo zinalipwa 4m na wewe huoni wateja.
2. Online tender mfano za serikali kupitia NeST na private watu kila siku wanafanya documentation na kuapply tenders.
3. Wengine wanafanya kama lounge au mahali pa kukutana na kukamilisha baadhi ya deals zao.
NB. Biashara sio kujaza wateja, biashara ni mzunguko na faida ndio maana unaona wanamudu kulipa taxes mbalimbali za serikali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kutoka Shekilango mpaka Bamaga ni fremu tu lakini wateja hata huwaoni[emoji16]
Wanapata zaidi ya hiyo ya kuzuga, toka nijue hili, sijawahi hadaika tena.Mtu unapoteza pesa zote kisa kuzuga kweli
wengi ni online businessHivi mshawahi kujiuliza unapita mahali mtu kafungua frem au duka hata hamna wateja unajiuliza huyu mtu huwa anaweza vipi kulipa kodi wakati hamna wateja?
Hili swali najiulizaga sana, nimekuta mjadala huko mtandaoni leo
Unakuta mtu ana duka la iphone hata simu 10 hazifiki frem kodi ni milioni 2 kwa mwezi na huko alikofungua hata uwezekano wa mtu kumudu iphone hamna yaani huoni hata nzi akiingia dukani kwa jamaa😂😂😂
Hizo ndo biashara zilizopo dsm hii nyingi unabaki unajiuliza huyu mtu huwa analipa vipi kodi?Tena unakuta kaweka na wafanyakazi wa kutosha tu
Hata mlimani city na kwenye mall nyingi ni hivyo hivyo na kwenye maeneo mengi tz
Sasa hawa watu huwa wanamudu vipi kulipa kodi ya frem?Sazingine unakuta frem imejificha huko ndanindani sasa unajiuliza huyu anapataga faida kweli🤣🤣
Kuna duka naziangalia au biashara najiuliza kichwani kwamba huyu mtu huwa anapata hata jero kwa siku kweli?