Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Kweli aisee ila hizi biashara za hawa watu zinafikirisha mno.Kuishi mjini akili. Kikubwa hakuna mtu anafanya biashara isiyo na faida.
Mbaya zaidi kuwauliza sio rahisi.
Na haya mawazo yanatukutaga sana ambao tunawaza kusaka maeneo ya kufanya biashara.
Ndo unakutana na maeneo kama hayo sasa, huoni hata mtu akikatiza.
Ila frem inapendeza mbaya, na ipo hapo almost 3yrs.