THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Currently watu wanaosali hizi dini za sasa hivi Ukristo&Uislam wanawaona Wasioamini katika hizi dini kama wasiojielewa hivi kama wakosefu na siku ya Mwisho wataenda Jehanamu.
Ila ukijiuliza swali jepesi tu hizi Dini zimekuja kipindi gani?
Ukilipita Jibu kua zimekuja Wakati wa Maandalizi ya Ukoloni then jiulize kabla ya Kipindi hicho hapakua na Maisha?/Watu? wanaishi ambao ni Babu zetu na ndio mzizi wa sisi Leo.
Now wao walishakufa kabla ya hata ya Hizi Dini kuja je siku ya Mwisho watakua kundi gani?
Kama watakua kundi la watu wa Jehanamu ina maana Mungu kuna kizazi kingine alikua hakipendi kijue uwepo wake?
Ukijiuliza vizuri haya maswali na ukatumia Akili Nyepesi tu utaelewa kua maisha yalikuwepo na watu waliishi kabla ya hiyo Dini yako.
Kwahio usiwaone wasio Amini katika kile unachokiamini wewe kama wapotevu.
NOTE:ISHI KATIKA IMANI YAKO HIVOHIVO NA USIJIONE WE BORA KULIKO WASIOAMINI KATIKA HICHO UNOCHOAMINI
NOTE:WATU WALIKUA WANAISHI MIAKA MAMIA KABLA YA HATA HIZO DINI HAZIJAJA.