Mtu anaemubagua Mtu mwingine Kisa haamini katika Dini za Leo, huyo Mtu hajayaelewa Maisha hata Kidogo

Angalia msisitizo wa elimu inayotolewa humo.

Wagalatia wanahakikisha unapigwa biblia na elimu dunia unaipata.

Wengine elimu ya ahera tu.
Tatizo wagalatia wamekaa kipigaji, michango mingi na wamiliki wa masinagogi wanatajirika balaa
 
Babu wa Babu yako unajua alikua na Dini hii Mkuu??
Na kama hakua nayo je yeye ni wa wapi?
Jehanamu au ahera?
mababu zetu hawata hukumiwa kwa kuto kua waislam kwasababu uislam haukuwafikia Bali watahukumiwa kwamatendo yao walio ishinayo Kama alikua anajali anasaidi watu sio mwizi mzinzi Wala hajafanya Mambo maovu ataenda peponi lakinikama wewe ambae tunakuambia kuwamuislam unakataa hakika hutakua nasababu yakujitetea kuwadini yauislamu haikukufikia
 
Currently watu wanaosali hizi dini za sasa hivi Ukristo&Uislam wanawaona Wasioamini katika hizi dini kama wasiojielewa hivi kama wakosefu na siku ya Mwisho wataenda Jehanamu.

Ila ukijiuliza swali jepesi tu hizi Dini zimekuja kipindi gani?

Ukilipita Jibu kua zimekuja Wakati wa Maandalizi ya Ukoloni then jiulize kabla ya Kipindi hicho hapakua na Maisha?/Watu? wanaishi ambao ni Babu zetu na ndio mzizi wa sisi Leo.

Now wao walishakufa kabla ya hata ya Hizi Dini kuja je siku ya Mwisho watakua kundi gani?
Kama watakua kundi la watu wa Jehanamu ina maana Mungu kuna kizazi kingine alikua hakipendi kijue uwepo wake?

Ukijiuliza vizuri haya maswali na ukatumia Akili Nyepesi tu utaelewa kua maisha yalikuwepo na watu waliishi kabla ya hiyo Dini yako.

Kwahio usiwaone wasio Amini katika kile unachokiamini wewe kama wapotevu.
NOTE:ISHI KATIKA IMANI YAKO HIVOHIVO NA USIJIONE WE BORA KULIKO WASIOAMINI KATIKA HICHO UNOCHOAMINI

NOTE:WATU WALIKUA WANAISHI MIAKA MAMIA KABLA YA HATA HIZO DINI HAZIJAJA.
Nia na malengo ya dini zote ni kuwafanya watu waishi kwa amani na mapendo. Dini ni kichocheo cha mapendo na amani. Kazi kubwa ni kutukumbushia kuishi kwa amani na upendo na kutuonyesha njia ya kuishi kwa upendo na amani. Hii maana yake ni kuwa uwezekano upo mkubwa hata wala ambao si wanachama wa ukristu, uislamu, uhindu, n.k. kuishi kwa mapenzi na amani. Hata dini za jadi malengo yake ni yaleyale ya hizi dini tulizoletewa toka nje. Kama kuna mbingu, mtu asijidanganye kuwa watakaoenda huko ni wale tu wa dini za kigeni, bali watu wote wenye upendo na amani...dini ni njia tu ya kusaidia kufika huko. One does not have to belong to organized religion. Organized religion is just a company or nongovernmental organization (NGO).
 
Currently watu wanaosali hizi dini za sasa hivi Ukristo&Uislam wanawaona Wasioamini katika hizi dini kama wasiojielewa hivi kama wakosefu na siku ya Mwisho wataenda Jehanamu.

Ila ukijiuliza swali jepesi tu hizi Dini zimekuja kipindi gani?

Ukilipita Jibu kua zimekuja Wakati wa Maandalizi ya Ukoloni then jiulize kabla ya Kipindi hicho hapakua na Maisha?/Watu? wanaishi ambao ni Babu zetu na ndio mzizi wa sisi Leo.

Now wao walishakufa kabla ya hata ya Hizi Dini kuja je siku ya Mwisho watakua kundi gani?
Kama watakua kundi la watu wa Jehanamu ina maana Mungu kuna kizazi kingine alikua hakipendi kijue uwepo wake?

Ukijiuliza vizuri haya maswali na ukatumia Akili Nyepesi tu utaelewa kua maisha yalikuwepo na watu waliishi kabla ya hiyo Dini yako.

Kwahio usiwaone wasio Amini katika kile unachokiamini wewe kama wapotevu.
NOTE:ISHI KATIKA IMANI YAKO HIVOHIVO NA USIJIONE WE BORA KULIKO WASIOAMINI KATIKA HICHO UNOCHOAMINI

NOTE:WATU WALIKUA WANAISHI MIAKA MAMIA KABLA YA HATA HIZO DINI HAZIJAJA.
Dini zililetwa kama kirahinishi cha kutawaliwa
 
Eeeh.... Ukiwa na majiko mengi utakuwa bize kuhudumia hivyo watakosa michango

Babu wa Babu yako unajua alikua na Dini hii Mkuu??
Na kama hakua nayo je yeye ni wa wapi?
Jehanamu au ahera?
Bro achana naye mfia dini hajui asili ya mwafrica,hajui kama ancestors walikuwa na dini zao na waliita mvua na ikanyesha, tofauti na maombi ya siku hizi wanaomba week nzima na maombi hayajibiwi na hajui dini ni utamaduni ata waafrica tulikuwa na dini zetu tofauti na ukristo na uislamu tena dini zetu zilikuwa bora kuliko izo mnazongombania za wazungu na waarabu,sema waafrica dini haikuwekwa kwenye mfumo rasmi na wazungu waliipoteza kila kitu maana hatujielewi😀😀
 
Waafrica wanashindwa kuelewa dini ni tamaduni za watu , uislamu ni dini ya waarabu na ukristo ni dini ya Europeans kuongea na kumuomba mungu, waafrica tulikuwa na dini zetu na tulimuomba mungu na akasikia na kuleta matokeo, kama bila kuja kutawaliwa tungekuwa na dini zetu tofauti na uislamu na ukristo, sasa waafrica wamebaki kubishana dini ya kweli ni ipi kama hayana akili😀😀😀dini zote ni za kweli hakuna dini ya uongo ndo maana ata Asia wana dini zao .
Currently watu wanaosali hizi dini za sasa hivi Ukristo&Uislam wanawaona Wasioamini katika hizi dini kama wasiojielewa hivi kama wakosefu na siku ya Mwisho wataenda Jehanamu.

Ila ukijiuliza swali jepesi tu hizi Dini zimekuja kipindi gani?

Ukilipita Jibu kua zimekuja Wakati wa Maandalizi ya Ukoloni then jiulize kabla ya Kipindi hicho hapakua na Maisha?/Watu? wanaishi ambao ni Babu zetu na ndio mzizi wa sisi Leo.

Now wao walishakufa kabla ya hata ya Hizi Dini kuja je siku ya Mwisho watakua kundi gani?
Kama watakua kundi la watu wa Jehanamu ina maana Mungu kuna kizazi kingine alikua hakipendi kijue uwepo wake?

Ukijiuliza vizuri haya maswali na ukatumia Akili Nyepesi tu utaelewa kua maisha yalikuwepo na watu waliishi kabla ya hiyo Dini yako.

Kwahio usiwaone wasio Amini katika kile unachokiamini wewe kama wapotevu.
NOTE:ISHI KATIKA IMANI YAKO HIVOHIVO NA USIJIONE WE BORA KULIKO WASIOAMINI KATIKA HICHO UNOCHOAMINI

NOTE:WATU WALIKUA WANAISHI MIAKA MAMIA KABLA YA HATA HIZO DINI HAZIJAJA.
 
Uislam umeonesha matokeo, hakuna kugombania urithi kama wakristu, hakuna kuishi na mchumba wao ni ndoa tu tena za bila gharama hakuna ubaguzi wa kuzikana na hakuna michango lukuki katika ibada
Sheikh acha kuvutia kamba kwako mbona mnachinja wenzenu na hatusemi kitu..
 
Uislam umeonesha matokeo, hakuna kugombania urithi kama wakristu, hakuna kuishi na mchumba wao ni ndoa tu tena za bila gharama hakuna ubaguzi wa kuzikana na hakuna michango lukuki katika ibada
Iran wamemuua mwenzao kisa hajafunika kichwa. Hayo ndiyo matokeo ya uislamu.
Zanzibar ukila mchana wanakuchapa fimbo. Hizi dini au vurugu?
Makanisa yalichomwa moto huko zanzibar hadi bara pia kuna maaskofu walimwagiwa tindikali.
N.B
Dini yako isiwe kero kwa wengine. Mm siamini dini kwahiyo ukinikuta nakula nguruwe usilete imani yako.
 
Back
Top Bottom