Mtu anakufa na vyake! Leo hii magari ya Kanumba hakuna hata moja hadi mama anapanda bajaji

Kesi kama hizi ni kupotezeana mda tu.... Nimeskiliza ushahidi wa mdogo wake Kanumba, nikaona huyo jamaa na huo ushahidi wake alio upeleka mahakani leo, nimemwona jamaa ni bogus
Ulitaka aongee uongo?
 
Ndoivyo kila mtu apambane na mali zake tu.[emoji20]
 
Ha ha ha ha haaaaa... Master cylinder laki 8? Hilo siyo gari zuri kwa usawa huu kwakweli, hata master cylinder ya scania haiuzwi hivyo! Though hata hiyo Subaru bado iko juu, turbo ya mtumba laki 8, taa laki 8.. Service ya oil tu iko juu...
Hivi mbona wtz tunajifanyanga tunajua kila kitu wakati hata kipuli chochote hakitegenezwi hapa.......hizo ni shida ya kua najami kubwa ambao ni "semi literate"
 
Hii ni kesi ya Jamhuri vs Lulu so no way to rescue sawa na ishu za ubakaji mshtaki anakua Jamhuri hao familia hawawez kuingilia
 
Huyu maza hakupata washauri wazuri,angebakiza ile teksi nyeupe ,yeye kutembelea bajaji ni aibu hata mwanae huko aliko hafurahi kabsa,jamaa ali hustle ili maza aishi vzr
 
Mkuu hapo cha lulu angekuwa anafanya maendeleo yake kimya kimya bila social media ndio cha maana kuliko yote kwa lulu sema ndio hivyo ameshazoea maisha ya kujianika mitandaoni
Mbona utumwa sasa?
 
Kukosa gari ni uzembe wake.
 
Halaf inaonesha huyu lulu hana mawasiliano mazuri na huyo mama,,ila chanzo cha bongo movie kufa ni Lulu kumuua Kanumba,,aisee kangefungwa hata miaka 20,roho zetu zisuuzike mashabiki wa Kanumba
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mim hata mazoea nisingekua nayo na lulu ati,,yule mama nadhan alitaka kugeuza lulu ndio amhudumie wakati lulu nae anahudumia mama yake na mdogo yake
Hivi luli hua anaishi na mama yake?nimeona hizo cream zilivyomfanya mama luli
Hahahaha namumuna tu ubuyu. Ila kweli maza karibika huenda stress za case.
 
Kabisa mkuu sijui hanaga wa kimshauri huyu binti
 
Anaitwa oscar pistorious kashakufa zamani
Exactly, the guy is now toiling in jail. He was sentenced 4 20 yrs then he appealed and reduced 4 10 yrs. So his case has no difference with that of Eliza. Unless otherwise she might be found guilty
 
Huyu mtoto akicheza atafungwa kwa kosa la kuua bila kukusudia.. hii kesi sio maigizo atii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…