Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
ndiondioLife
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndiondioLife
uwe unafuatilia ukweli kabla ya kuongea.Achane na hiyo kesi... Apambane na maisha, asitafute huruma huko mahakamani akidhani atalipwa fidia
You said it well Ms.uwe unafuatilia ukweli kabla ya kuongea.
jamhuri ama serikali ndo imefungua kesi inamshtaki lulu kwa mauaji.sio familia ya kanumba wala seth.
huyu seth haendi pale hivihivi..anapewa notice ya mahakama na anaitwa kama shahidi pekee anaetambulika kwenye hiyo kesi aliekuwepo eneo la tukio...ametimiza wajibu wake kuhudhuria na kuelezea alishuhudia nini bila kudanganya then awaachie maamuzi mahakama.
mama kanumba lazima ahudhurie sabb ni kesi inayomhusu mwanae.
sasa unavomponda kijana anatafuta sympath kutoka kwa nani? kaka yako afe halafu udai fidia? serious?
ni jamhuri ndio inashitakiNingekuwa mimi nisingeendelea na kesi kama hii,unajua kabisa k imeua na k haina mjuaji
Nafikiri familia ya Kanumba ina weza kuiomba mahakama kuifutilia mbali hiyo kesi....uwe unafuatilia ukweli kabla ya kuongea.
jamhuri ama serikali ndo imefungua kesi inamshtaki lulu kwa mauaji.sio familia ya kanumba wala seth.
huyu seth haendi pale hivihivi..anapewa notice ya mahakama na anaitwa kama shahidi pekee anaetambulika kwenye hiyo kesi aliekuwepo eneo la tukio...ametimiza wajibu wake kuhudhuria na kuelezea alishuhudia nini bila kudanganya then awaachie maamuzi mahakama.
mama kanumba lazima ahudhurie sabb ni kesi inayomhusu mwanae.
sasa unavomponda kijana anatafuta sympath kutoka kwa nani? kaka yako afe halafu udai fidia? serious?
Mali zinayohusishwa na Freemason ndivyo zinavyoyeyukaMagari sio...kama huna uwezo wa kuyamudu bora uuze. Sina hamu prado ilivonila hela afu ukizingatia misele yenyewe ya town tu..kitu cc 2500 turbo afu ikafa master cylinder ikanila laki 8 ya fasta...hapo turbo haijafa..nimerudi zangu kwenye subaru..ila maza kakosea hata vits?
Unafikiri lakini siyo kweli na wala haiwezi kuwa hivyo.Nafikiri familia ya Kanumba ina weza kuiomba mahakama kuifutilia mbali hiyo kesi....
If you think you can not do well with us in English, you can as well pack up and go!Yaani hapa ume assume kua sisi wote wanasheria eti?
But do you remember the case of that south African athletee, it was also manslaughter. But now he is in jail1. Where there is evidence of a fight it is not safe to infer malice aforethought. In this regard, it will always be safe to ground a conviction of manslaughter instead of murder.
2. Death resulting from a fight- see also Juma G. Timbulu v R, Criminal Appeal No. 27 of 1991 and Moses Chichi v R, [1994] TLR 222 on the issue.-
Kesi ya kumpa Mimba mwanafunzi tu hata kama wazazi wake watasema wamekusamehe yaishe serikali itakufunga Tu... ndoo uue..!?? Hapo mahakama ifanye ubinadamu tu... au ndugu zake na Kanumba wasusie kesii wasiende mahakamani kabisaa jamanii daaah...Nafikiri familia ya Kanumba ina weza kuiomba mahakama kuifutilia mbali hiyo kesi....
Nakubali kabisa, nakuwekea kesi hii! Huyu mtu alikir kuua bila kukusudia akafungwa miaka 20, akakata rufaa wakapunguza ikawa 10. Huyu binti atafungwa miaka mingi kama Judge akiwa mkali, au "mingi kidogo" akiwa linient>But do you remember the case of that south African athletee, it was also manslaughter. But now he is in jail
Huyu mama alikuja Dar kwenye msiba jumla mpaka leo[emoji23][emoji23][emoji23] ,,,halaf hata ingekua mim hata lulu angekuwa maskin nisingefurahia kwa kweli mtoto wangu kafa na chanzo ni yeye kumsukuma ukute kalimpiga na kitu kichwani haka,,sikapendi toka kafanye hivyoHuo ndio ujinga wake mama kanumba hana kitu mpaka magari kauza unafkili atafurahia maisha yake anayomuona nayo kwenye mitandao
Aisee vipi Subaru zikoje oil consumptionMagari sio...kama huna uwezo wa kuyamudu bora uuze. Sina hamu prado ilivonila hela afu ukizingatia misele yenyewe ya town tu..kitu cc 2500 turbo afu ikafa master cylinder ikanila laki 8 ya fasta...hapo turbo haijafa..nimerudi zangu kwenye subaru..ila maza kakosea hata vits?
Jipe nafasi ya mama kanumbA,ungesamehe?Waligombana nakumbuka mpaka kusema lulu hamsaidii kwa chochote yaan lulu hajui tu mambo ya mitandaoni angeachana nayo kabisa kama kupost apost mambo ya kazi zake za film tu huyu mama bado ana duku duku nae
Hivi huyu mama lakini mali za mwanae kapeleka wapi jaman nakumbuka walikua wana beef na baba ake kanumba kipindi kile baba anataka ata gari moja mama anakataa ila lulu jaman anatia huruma sana na awamu hii ebu aachane na mambo ya social mediaHuyu mama alikuja Dar kwenye msiba jumla mpaka leo[emoji23][emoji23][emoji23] ,,,halaf hata ingekua mim hata lulu angekuwa maskin nisingefurahia kwa kweli mtoto wangu kafa na chanzo ni yeye kumsukuma ukute kalimpiga na kitu kichwani haka,,sikapendi toka kafanye hivyo
Dina lakini ujue walishaamua kusameheana kabisa mpaka wakawa kwenye maevents wanaenda pamoja sijui jini mkata kamba alipita vipi mpaka wakaanza kurushiana maneno mtandaoniJipe nafasi ya mama kanumbA,ungesamehe?
Mim hata mazoea nisingekua nayo na lulu ati,,yule mama nadhan alitaka kugeuza lulu ndio amhudumie wakati lulu nae anahudumia mama yake na mdogo yakeDina lakini ujue walishaamua kusameheana kabisa mpaka wakawa kwenye maevents wanaenda pamoja sijui jini mkata kamba alipita vipi mpaka wakaanza kurushiana maneno mtandaoni
Ndio mama kanumba alitaka lulu amuhudumie kila kitu badae naona lulu alikata huduma ndio mama povu kuanza kumtoka mama lulu alikua anaishi tabata labda kama siku hizi ameamua kukaa na mwanae wa mama wa mjini na macreamMim hata mazoea nisingekua nayo na lulu ati,,yule mama nadhan alitaka kugeuza lulu ndio amhudumie wakati lulu nae anahudumia mama yake na mdogo yake
Hivi luli hua anaishi na mama yake?nimeona hizo cream zilivyomfanya mama luli