Mtu anamshangaa muislamu mwenzake anayekula nguruwe wakati yeye anakula kisamvu cha kopo.

Mtu anamshangaa muislamu mwenzake anayekula nguruwe wakati yeye anakula kisamvu cha kopo.

Tundusami

Senior Member
Joined
Feb 7, 2026
Posts
116
Reaction score
270
Nguruwe na kisamvu cha kopo vyote haramu ila angalau nguruwe amehalalishwa kuliwa kwa kiasi kidogo kama hapo ulipo umekosa kabisa chakula na nguruwe ndo nyama pekee iliyopo inalusiwa kula kidogo ila usishibe ila kisamvu cha kopo hakirusiwa kuliwa na umuoni mtume.
 
Naomba kupewa rejea kutoka kwenye Quran ili nitafakari zaidi.
 
Unafiki wa dini huu, ni sawa na kelele za kupinga ushoga na ulawiti ni nyingi ila cha ajabu utafiti wa MEWATA (2016) unaonyesha 2/3 ya wanawake hasa walioolewa wanaingiliwa kinyume na maumbile na waume zao!!

Unajiuliza hao 2/3 ya wanaume hawana dini?
 
Unafiki wa dini huu, ni sawa na kelele za kupinga ushoga na ulawiti ni nyingi pcha ajabu utafiti wa MEWATA (2016) unaonyesha 2/3 ya wanawake hasa walioolewa wanaingiliwa kinyume na maumbile na waume zao!!

Unajiuliza hao 2/3 ya wanaume hawana dini?
Tanzania inaongoza kwa UNAFIKI linapokuja suala la Mapenzi ya jinsia 1 na kinyume na maumbile.
 
Wakristo kwani mkiongelea dini yenu tu haiwezekani lazima mulete mada za kijinga hpa Jf kuhusu Uislamu na Waislamu?
 
Back
Top Bottom