Kunywa kidogo lakini usilewe😎Vyote ni najisi tu, kwa "muktadha wa kiimani"!
Amesema Kitimoto vs KisamvuKunywa kidogo lakini usilewe😎
Najaribu kukuelewesha zaidiAmesema Kitimoto vs Kisamvu
Tanzania inaongoza kwa UNAFIKI linapokuja suala la Mapenzi ya jinsia 1 na kinyume na maumbile.Unafiki wa dini huu, ni sawa na kelele za kupinga ushoga na ulawiti ni nyingi pcha ajabu utafiti wa MEWATA (2016) unaonyesha 2/3 ya wanawake hasa walioolewa wanaingiliwa kinyume na maumbile na waume zao!!
Unajiuliza hao 2/3 ya wanaume hawana dini?
Kwangu mvinyo sunna, halafu nikiwa na furaha zaidi, halafu nikiwa na miadi na wewe...lazima nipige kidogo!😅Najaribu kukuelewesha zaidi
Unaona aibu au? We msabato wewe🤔Kwangu mvinyo sunna, halafu nikiwa na furaha zaidi, halafu nikiwa na miadi na wewe...lazima nipige kidogo!😅
We tuweke miadi tu utajua sababu hasa nini😅Unaona aibu au? We msabato wewe🤔
Wakristo kwani mkiongelea dini yenu tu haiwezekani lazima mulete mada za kijinga hpa Jf kuhusu Uislamu na Waislamu?
daaaaah nilitaka kushangaa ukosekane katika mada hiiTanzania inaongoza kwa UNAFIKI linapokuja suala la Mapenzi ya jinsia 1 na kinyume na maumbile.