Mtu anamshangaa muislamu mwenzake anayekula nguruwe wakati yeye anakula kisamvu cha kopo.

Ugalatia umezidi uchafu kwanza wanakula mnyama mchafu kuliko mnyama yoyote duniani halafu wakimaliza kula wanaenda kutifuana mikundu midume kwa midume tena kanisani kabisa

 
Sasa hauli nguruwe unakula soseji, kfc, hotdog, na vyakula vya kwenye makopp ki yale yale
 
Vyote ni najisi tu, kwa "muktadha wa kiimani"!
Najisi sawa, 'asa kwanini mla kisamvu cha kopo 'amseme' mla nguruwe 'kati nae ni mla haramu vile vile?
Ndiyo rai ya mleta uzi .
 
Pombe nayo ni haramu na wanagida bila kificho ila kitimoto mpaka wajifiche ilhali ni ruksa kwenye dhiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…