Mtu anatekwa Stendi ya Magufuli huku watu wanaangalia? Wananchi tunatakiwa kujitafakari, imekuaje tumekuwa mazombi hivi?

Watanzania ni watu wa kipekee sana. Hapo atapita mwizi wa mchicha fungu moja watapiga waue kabisa ila binadamu anaibwa wanatazama tu. Tupo hivyo.
Ipo hivyo
Haibadiliki damu yetu
Wapo bize na simba na yanga, ndio wanaweza kufa nayo sio roho hata ya ndugu yake
 
Shida ya watanzania hatujiamini, ndomana mambo maovu yanaendelea kweny mikudanyiko kama hiyo
 
Tatizo la Dar ni wanaume Biscuit nakumbuka kipindi tupo UDSM tunaandamana na mgomo kutoka Main Campus mpaka Mabibo Hostel watu wanatuangalia kama vile tunataka kupindua nchi.
 
Sawa Kaka .
Jumapili njema ndugu ,pole kwa yote
 
Kwa mujibu wa mtu aliyeshuhudia tukio hilo, amesema watu walitaka kusogea ila watekaji waliwanyooshea pisto kama wanataka kuwashuti wakaogopa na kurudi nyuma watekaji wakaondoka na gari lao.

Ila anadai kuna kamera pale Magufuli, Mkuu wa kituo atoe picha tuone ni akina nai hao.

Anadai kuna simu na pingu kapewa mkuu wa kituo cha Magufuli vilivyodondoshwa na watekaji so inabidi atuambie ni akina nai hao.
 
Daah hatari sana pana muhuni mmoja yupo Commissioner Street, Johannesburg anasema huko mnakotekana sehemu yeyote tena muda mwingine na vyombo vinavyotambulika kisheria mimi siwezi kurudi maana ntaweza kuua hadharani nikiona mtu anatekwa nimeanza kumuelewa..
 
zindiko la mwenge..!
 
Haya Mambo ya hovyo sana, mmeshindwa kushindana kwa hoja mmebakia kuteka na kuua watu.
 
Hii ilikuwa mistake ya karne
 
kama ndo

kama ndo ivi nahama Dar hakuna maana!
Ni hatari unaweza ukawa unalawitiwa mijitu unaangalia tu hata msaada hakuna muharifu akisha toweka ndo yanaanza kujikusanya vipi umesalimika na porojo kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…