Habari za mchana? Nilikuwa napenda kufahamu kwa ujumla mazingira ya wilaya ya butiama kwa mtu anayeenda kuanza kazi katika wilaya hiyo.
Kwenye upande wa mazingira na tamaduni za huko butiama ?
Gharama pia za maisha huko butiama zipoje ? Kama nyumba na vyakula.
Pia wanajidhughurisha na kilimo cha mazoa gan hasa ya biashara?
Kama kuna mtu anafahamu ananifahamishe
Asanteni