Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Naye anakula ada yako tu, baada ya kuhitimu hakutafutii ajira.Ni mwalimu pekee anayekuombea mema-uende shule ukasome.
Kwakweli huyo huduma yake ni kukupa maarifa ya kupambana na hao wezi wengineNi mwalimu pekee anayekuombea mema-uende shule ukasome.
Ukipata ni sawa na mwizi kupata.Ili apatae cha kuiba; wengine wanakuombea mabaya, mfano:-
Daktari anataka uugue ili aende kukutibu Wakili anataka uwe na kesi ili aweze kusimamia Muuza majeneza anataka ufe ili auze majeneza Nabii anataka urogwe ili akutoe mapepo Mganga anataka urogwe na wachawi ili akupe tiba Askari anataka ukosee ili wakukamate Mama ntilie na wenye hoteli wanataka usikie njaa wakuuzie chakula Kiongozi anataka uwe mjinga ili akutawale Fundi magari anataka gari iaribike ili aitengeneze Dereva bajaji anataka jua likuchome ili upande usafiri wake Muuza mwamvuli anataka unyeshewe na mvua ili ununue mwamvuli Askari magereza anataka ufungwe ili apate kazi Fundi viatu anataka kiatu chako kiharibike ili akishone Muuza madawa anataka uugue ili akuuzie dawa Mchungaji anataka usifanikiwe ili kila siku uwe muumini wakeHatari sana, mambo ni mengi; kwa kweli tuwaombee wezi waishi miaka mingi kwa kutuombea mema na mafanikio.
Kama wewe ni mwizi, nyoosha mkono juu nikununulie pepsi
Mbona hao huwa hatuwapati zaidi yakula visalio vyetuPia, mdinya anataka mwanamke apandwe na ashiki ili apate kudinya.
Wanakula ada zetu, tukihitimu hawatupi ajira.Kwakweli huyo huduma yake ni kukupa maarifa ya kupambana na hao wezi wengine
Ukosee kuoa apigane na mkweMama yako je? 😳
Ndio ukweli huo, daktari wa meno anakuombea uanguke uvunjike meno ili uende akakutibu.Haijakaa poa...
Inabidi mgawane tuUkipata ni sawa na mwizi kupata.
Ndivyo maisha yalivyo, kila mmoja anavutia kwake.Mchepuko anakuombea ugombane na wife uende kwake😘
Pega makofee kwa WEZI.Ili apatae cha kuiba; wengine wanakuombea mabaya, mfano:-
Daktari anataka uugue ili aende kukutibu Wakili anataka uwe na kesi ili aweze kusimamia Muuza majeneza anataka ufe ili auze majeneza Nabii anataka urogwe ili akutoe mapepo Mganga anataka urogwe na wachawi ili akupe tiba Askari anataka ukosee ili wakukamate Mama ntilie na wenye hoteli wanataka usikie njaa wakuuzie chakula Kiongozi anataka uwe mjinga ili akutawale Fundi magari anataka gari iaribike ili aitengeneze Dereva bajaji anataka jua likuchome ili upande usafiri wake Muuza mwamvuli anataka unyeshewe na mvua ili ununue mwamvuli Askari magereza anataka ufungwe ili apate kazi Fundi viatu anataka kiatu chako kiharibike ili akishone Muuza madawa anataka uugue ili akuuzie dawa Mchungaji anataka usifanikiwe ili kila siku uwe muumini wakeHatari sana, mambo ni mengi; kwa kweli tuwaombee wezi waishi miaka mingi kwa kutuombea mema na mafanikio.
Kama wewe ni mwizi, nyoosha mkono juu nikununulie pepsi
Hawa wanawake au akina nani mkuu.Mbona hao huwa hatuwapati zaidi yakula visalio vyetu
SahihiNdivyo maisha yalivyo, kila mmoja anavutia kwake.
We nae huna tofauti na yule aliyesema anamshukuru rais kwa kuleta el nino na itawasaidia kuleta ajira kwa wao watoto, kwahiyo wewe unataka mwalimu akupe ajira gani?Wanakula ada zetu, tukihitimu hawatupi ajira.
We nae huna tofauti na yule aliyesema anamshukuru rais kwa kuleta el nino na itawasaidia kuleta ajira kwa wao watoto, kwahiyo wewe unataka mwalimu akupe ajira gani?