Kwahiyo hapo unakuwa umefengezea faida ya Tshs ngapi, tukiondoa gharama za maintenance and let’s hope transaction zote zilienda sawiaTupe hesabu zako basi zinazosibitisha uchizi wake??
20,000x365days= 7,300,000 hiyo ni kwa mwaka mmoja.
Kuna wenzako wana mpaka bajaj 20! Sasa jiulize kwa siku wanalaza shilingi ngapi!Yaani Kuna watu hawana kama zimepungua kichwani hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mtu mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku na risk za kutosha hii ni akili Gani yaani hela za mashamba ya urithi nyumbani kwenu unatarajia hii biashara kichaa ikunufaishe aisee kweli washamba mnaotoka kijijini na pesa za urithi wa mashamba mtaendelea kukumbatia umasikini milele?
Biashara kichaaTAHADHARI !
MLETA MADA APUUZWE
Mleta mada unaijua vizuri biashara ya Bajaji au unasimuliwa?,Je umewahi kumiliki,kuendesha ya mtu au kwenu mmewahi miliki bajaji?
Bajaji Kwa siku inalaza si chini ya elfu 40 na hii ukiwa unaendesha mwenyewe siyo kumpa mtu!
Dereva (Deiwaka) anapata faida kubwa zaidi ya mmiliki!
Biashara kichaa huwezi kuweka milion 200 kwenye uchafu wa bajaji utakua huna akili timamuKuna wenzako wana mpaka bajaj 20! Sasa jiulize kwa siku wanalaza shilingi ngapi!
Umaskini wa mali na akili kwa mtoa mada ndio tatizo.Yaani Kuna watu hawana kama zimepungua kichwani hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mtu mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku na risk za kutosha hii ni akili Gani yaani hela za mashamba ya urithi nyumbani kwenu unatarajia hii biashara kichaa ikunufaishe aisee kweli washamba mnaotoka kijijini na pesa za urithi wa mashamba mtaendelea kukumbatia umasikini milele?
Mwambie biashara nzuri auze vocha za mitandso.TAHADHARI !
MLETA MADA APUUZWE
Mleta mada unaijua vizuri biashara ya Bajaji au unasimuliwa?,Je umewahi kumiliki,kuendesha ya mtu au kwenu mmewahi miliki bajaji?
Bajaji Kwa siku inalaza si chini ya elfu 40 na hii ukiwa unaendesha mwenyewe siyo kumpa mtu!
Dereva (Deiwaka) anapata faida kubwa zaidi ya mmiliki!
Bado hesbau inakataa ..! Hata kama una bilioni 10 lakini unapata hasara bilioni 1.5 , bado ni hasara tuKuna wenzako wana mpaka bajaj 20! Sasa jiulize kwa siku wanalaza shilingi ngapi!
Simba Kwa Mkapa Hatoki MtuKila mtu ashinde mechi zake
😂😂Yaani Kuna watu hawana kama zimepungua kichwani hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mtu mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku na risk za kutosha hii ni akili Gani yaani hela za mashamba ya urithi nyumbani kwenu unatarajia hii biashara kichaa ikunufaishe aisee kweli washamba mnaotoka kijijini na pesa za urithi wa mashamba mtaendelea kukumbatia umasikini milele?
Yawezekana wewe ndiye ukawa kichaa!Biashara kichaa
Kichaa ni wewe dereva boda boda mtu mwenye akili hawezi fanya hizo mbanga za kuhemewa nyumaYawezekana wewe ndiye ukawa kichaa!
mmh, hii hesabu sio sawa sawa...hiyo bajaj ikikaa muda mrefu hivo barabarani inakufa mapema sana...Tupe hesabu zako basi zinazosibitisha uchizi wake??
20,000x365days= 7,300,000 hiyo ni kwa mwaka mmoja.
kununua chombo cha moto! na kumpa mtu akuletee hesabu, ni ujinga,upumbavu,uzembe,uvivu wa kufikiri na ufujaji wa mtaji. ni masikini wa AKILI tu, ndio anaweza kufanya upumbavu huo.
Bajaji za mkataba service anafanya dereva , wewe Kila siku pesa Yako inaingia. Faida ipo kwakua mkataba Huwa ni miaka 2. Na bajaji haifi haraka ndomna Kuna bajaji used.Bado hesbau inakataa ..! Hata kama una bilioni 10 lakini unapata hasara bilioni 1.5 , bado ni hasara tu
Zingatia uwekezaji huuo kwa faida na hasara zake..
Na sio Quick cash
Ssi akanunue sigara za milion 20Mwambie biashara nzuri auze vocha za mitandso.