Mtu anayetoa milion 10 kununua bajaji Ili apewe 20k Kwa siku ni kufanya biashara kichaa

Mtu anayetoa milion 10 kununua bajaji Ili apewe 20k Kwa siku ni kufanya biashara kichaa

Waajiriwa wa serikali tukisikia habari hizi huwa tunajiuliza hao wafanyabiashara wanaotutukana kuhusu kuajiriwa kwetu, huwa wanaingiza faida kiasi gani kwa siku baada ya makato yote?
Wee wafanya biashara tunapiga hela, na sisi wengine ni ujanja ujanja tu hatuna bado biashara za maana ila hela tunapiga mshahara wako wa mwezi ni hela ya wiki 1 tu
 
Nina ushuhuda mzuri kuhusu biashara ya bajaji niliwahi post humu naiuza...vijana wana hatari bana, kuna dereva mpaka alijifanya kapata ajali anatembea upande upande kama ngadu kumbe wakati wa kutoka gereji kajisahau anatembea vizuri 😂😂😂.
Vijana wa makumbusho baadhi yao ni vimeo kabisa hawana wasi hata kidogo na jasho la mtu, niliuza zooote 3

Wengine wanakwambia ngo'a mpya bosi nilete 25000 🤣🤣🤣, bora hela niione kwa account kwa kuangalia salio everytime, everyday, every year to hell hiyo biashara asee 😄

Kwenye service hela inakutoka na lunch anauliza 🤣🤣🤣
 
At
Naungana na mleta hoja 10mil ni hela nyingi sana,kumpa mlevi mmoja akuletee 20,hapo unamfaidisha huyo mlevi kuliko unavyofaidika wewe
[/QUOTE
Ata biashara yeyote mbali na bajaji ukimwachia mlevi hapo unamfaidisha huyo mlevi kuliko unavonufaika wewe
 
Kwani utakuwa unategemea hiyo bajaji kwa kila kitu?? Hiyo biashara ni ya kuzungusha hela hata kama faida ni sio kihvyoo.
Kuna watu wanalisha familia mbili kwa bajaji mzee, nenda kitaa ujionee!
Jamaa anajiona mjanja Sana. Kuna watu wengi tu wanaishi kwa kutegemea bajaji. Kwa mfano, kwa bajaji hiyo hiyo, watu wanalipia Kodi ya nyumba, wameoa, wanasomesha watoto, matibabu, chakula na mavazi.
Hakuna biashara isiyo na faida, hata kama faida Ni Tshs 500/=.
 
Yaani Kuna watu akili kama zimepungua kichwani hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mtu mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku na risk za kutosha hii ni akili Gani yaani hela za mashamba ya urithi nyumbani kwenu unatarajia hii biashara kichaa ikunufaishe aisee kweli washamba mnaotoka kijijini na pesa za urithi wa mashamba mtaendelea kukumbatia umasikini milele?
WW unafanya biashara yoyote?
Ni biashara na watu wanafanya na zinawalipa japo mimi Binafsi siwezi kuweka 10m kwenye Bajaji mm binafsi siwezi kabisaaa
 
Wew
Bro umekuwa mkali leo 🤣

Nina ushuhuda mzuri kuhusu biashara ya bajaji niliwahi post humu naiuza...vijana wana hatari bana, kuna dereva mpaka alijifanya kapata ajali anatembea upande upande kama ngadu kumbe wakati wa kutoka gereji kajisahau anatembea vizuri 😂😂😂.
Vijana wa makumbusho baadhi yao ni vimeo kabisa hawana wasi hata kidogo na jasho la mtu, niliuza zooote 3

Wengine wanakwambia ngo'a mpya bosi nilete 25000 🤣🤣🤣, bora hela niione kwa account kwa kuangalia salio everytime, everyday, every year to hell hiyo biashara asee 😄

Kwenye service hela inakutoka na lunch anauliza 🤣🤣🤣
Wewe umekosa vijana bora ila biashara hiyo aina tatizo
 
IMG-20241207-WA0005.jpg
 
TAHADHARI !

MLETA MADA APUUZWE

Mleta mada unaijua vizuri biashara ya Bajaji au unasimuliwa?,Je umewahi kumiliki,kuendesha ya mtu au kwenu mmewahi miliki bajaji?

Bajaji Kwa siku inalaza si chini ya elfu 40 na hii ukiwa unaendesha mwenyewe siyo kumpa mtu!

Dereva (Deiwaka) anapata faida kubwa zaidi ya mmiliki!
Kwenye kumpa mtu asipuuzwe abadani ila kuendesha mwenyewe sawa ndio apuuzwe....
 
Wee wafanya biashara tunapiga hela, na sisi wengine ni ujanja ujanja tu hatuna bado biashara za maana ila hela tunapiga mshahara wako wa mwezi ni hela ya wiki 1 tu
Mimi sijaenda kazini tangu Ijumaa hadi kesho Jumanne, lakini hesabu inasomeka siku zote hizo 75k kwa siku kabla ya makato. Tena ngoja na kesho nijaze kabisa likizo ya mwaka siku 28 nilipwe 800k za nauli ingawa nitabaki Kiwalani
 
Kwahiyo kina abood, kina shabiby, waliojenga vituo vya mafuta wenye ma daladala, ni wajinga sio??
Ukiwa bungeni dili Ni nyingi hata unajua mifumo ya kukwepa kodi

Matajiri wengi wa kiarabu na kihind hapa bongo nyuma ya pazia wa nashare na wanasiasa

Hi biashara ya vyombo vya moto Tanzania imefilisi wengi bila connect unazama
 
Bro umekuwa mkali leo 🤣

Nina ushuhuda mzuri kuhusu biashara ya bajaji niliwahi post humu naiuza...vijana wana hatari bana, kuna dereva mpaka alijifanya kapata ajali anatembea upande upande kama ngadu kumbe wakati wa kutoka gereji kajisahau anatembea vizuri 😂😂😂.
Vijana wa makumbusho baadhi yao ni vimeo kabisa hawana wasi hata kidogo na jasho la mtu, niliuza zooote 3

Wengine wanakwambia ngo'a mpya bosi nilete 25000 🤣🤣🤣, bora hela niione kwa account kwa kuangalia salio everytime, everyday, every year to hell hiyo biashara asee 😄

Kwenye service hela inakutoka na lunch anauliza 🤣🤣🤣
Mii siwezi fanya uwo mchezo mkuu Yan kwa m10 alafu alete shingap sijui..
Mara jamaa aanze kuzidisha sijui ngapi mara ngapi aaaaaaaah weeeeh hapana mkuu siwezi ,🙌🙌🙌🙌
 
Pesa Iko kwenye usafirishaji ukinunua Bora uendeshe mapema
Kwa siku kukunja 50k ni kawaida
Unaendesha ukifika mwaka unauza million 7 unanunua nyingine
 
Aneifanya hiyo biashara kwa bajaji moja na anaitegemea hiyohiyo kwa kuendesha maisha na huku kampa mtu amletee 20k per day anajiunguza mwenyewe.

Ila kwa experience yangu nimeona wengi wana mishe nyingine bajaji inakua extra, na bajaji sio moja.
Kuna mwamba ana bajaji 10+, zinampa pesa nzuri mno.

Nadhani mleta uzi jaribu kufanya tafiti, na hizo bajaji wengine huwapa mkataba kua baada ya kipindi fulani bajaji inakua ya huyo dereva, so tajiri anachukua pesa kwa muda fulani baada ya hapo kijana bajaji inakua yake. Hapo hata ikae 2 yrs chombo inakua vyedi maana kijana anaimaintain kama yake.

Hizi biashara ukiziangalia kichwakichwa kama ufanyavyo hamna utayoona ina faida, zote utaona watu wanacheza makida makida, kumbe pesa ipo ni dharau zako tu na miscalculation zako.
 
Back
Top Bottom