Bro umekuwa mkali leo 🤣
Nina ushuhuda mzuri kuhusu biashara ya bajaji niliwahi post humu naiuza...vijana wana hatari bana, kuna dereva mpaka alijifanya kapata ajali anatembea upande upande kama ngadu kumbe wakati wa kutoka gereji kajisahau anatembea vizuri 😂😂😂.
Vijana wa makumbusho baadhi yao ni vimeo kabisa hawana wasi hata kidogo na jasho la mtu, niliuza zooote 3
Wengine wanakwambia ngo'a mpya bosi nilete 25000 🤣🤣🤣, bora hela niione kwa account kwa kuangalia salio everytime, everyday, every year to hell hiyo biashara asee 😄
Kwenye service hela inakutoka na lunch anauliza 🤣🤣🤣