Mtu anayetoa milion 10 kununua bajaji Ili apewe 20k Kwa siku ni kufanya biashara kichaa

Mtu anayetoa milion 10 kununua bajaji Ili apewe 20k Kwa siku ni kufanya biashara kichaa

Yaani Kuna watu akili kama zimepungua kichwani hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mtu mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku na risk za kutosha hii ni akili Gani yaani hela za mashamba ya urithi nyumbani kwenu unatarajia hii biashara kichaa ikunufaishe aisee kweli washamba mnaotoka kijijini na pesa za urithi wa mashamba mtaendelea kukumbatia umasikini milele?
Hapo ulipo kama umesoma ukipiga hesabu ya ada, chakula na nauli ni zaidi ya 20m kwa shule za kawaida lakini ajabu kazi unayofanya unalipwa mshahara 300k kwa mwezi!!! Kuna biashara kichaa zaidi ya hiyo!? Bajaji kuingiza 20k kwa siku kwa mtaji wa 10m ndo umeona ajabu wakati kwa mwezi ni 600k (zaidi ya mshahara wako)
 
Afya ya akili inakusibu wewe mwanakikundi Cha Wanawake wenzio !

Wana Kikundi wakigundua huwa unalingishia pesa zao hapa JF watakufukunyua mukunyu !
Bongo jua Kali watu mnadata🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hapo ulipo kama umesoma ukipiga hesabu ya ada, chakula na nauli ni zaidi ya 20m kwa shule za kawaida lakini ajabu kazi unayofanya unalipwa mshahara 300k kwa mwezi!!! Kuna biashara kichaa zaidi ya hiyo!? Bajaji kuingiza 20k kwa siku kwa mtaji wa 10m ndo umeona ajabu wakati kwa mwezi ni 600k (zaidi ya mshahara wako)
Akili Yako kaiflash iwe mpya
 
Yaani Kuna watu akili kama zimepungua kichwani hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mtu mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku na risk za kutosha hii ni akili Gani yaani hela za mashamba ya urithi nyumbani kwenu unatarajia hii biashara kichaa ikunufaishe aisee kweli washamba mnaotoka kijijini na pesa za urithi wa mashamba mtaendelea kukumbatia umasikini milele?
ngoja tu niwe mkwel sjui n lini ntaidhika milion 10 daaah.....toka nishike milion 2 mwaka 2022 sijawah shika zaid ya hapo daah rip to me
 
Unae
Mziki wake sio wa kitoto mpaka ela yako irudi,na kuanza kupata hiyo inayoitwa faida hewa, kwa madereva hawa pasua kichwa,wengine tulishakuwepo huko miaka iyo tunajua,enzi za mwaibula
😄😄
Unaenda service na kuzurura kununua spare watu wamekaa kwenye mali yako wanakoroma tu 🤣🤣..ukikaa chini home unaanza jumlisha, toa, zidisha mpaka bolt ya 500 iwe hesabuni...kesho asubuhi ukiona simu ya dereva wako roho juu...kuna kipindi naongea na dereva huyu naona ya mwingine inaingia 🤣🤣, halafu jana tu umekomaa service we bwana wewee
 
Sio hao tu hata wenye nyumba, unakuta kagharamikia nyumba ya milioni 40 anakuja kupangisha laki kwa mwezi. Hapo faida anakuja kuiona baadaeeeeee
Nyumba ya milioni arobaini kodi haipungui laki tatu kwa mwezi,kwa maeneo ukanda wa tegeta,bunju,
 
Wengine wala sio washamba wakutoka vijijimi,wapo pia watumishi hapa mjini wanakopa mikopo kununua bajaj na kuwapa wahuni,

Na kuna mwingine anatoa milion themanini kununua kosta,halafu anasubiria hesabu ya laki au elfu themanini kwa siku,,
Daladala biashara kichaa ,huwa nawasikitikia sana
Kuna watu vituko 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Biashara ya bajaji na kuweka fedha fixed au UTT ni biashara ambazo mtu unatakiwa ufanye kama tayari una 60 yrs.
Yani kijana upate 10M halafu uisubiri kwa miaka 2 ndio urudishe pesa ni ukichaa,huku hata ukialangua mahindi Mkoa wa Songea kwenda Mwanza unaweza rudisha 10M yako ndani ya miezi 4.
 
Back
Top Bottom