Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Hapo ulipo kama umesoma ukipiga hesabu ya ada, chakula na nauli ni zaidi ya 20m kwa shule za kawaida lakini ajabu kazi unayofanya unalipwa mshahara 300k kwa mwezi!!! Kuna biashara kichaa zaidi ya hiyo!? Bajaji kuingiza 20k kwa siku kwa mtaji wa 10m ndo umeona ajabu wakati kwa mwezi ni 600k (zaidi ya mshahara wako)Yaani Kuna watu akili kama zimepungua kichwani hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mtu mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku na risk za kutosha hii ni akili Gani yaani hela za mashamba ya urithi nyumbani kwenu unatarajia hii biashara kichaa ikunufaishe aisee kweli washamba mnaotoka kijijini na pesa za urithi wa mashamba mtaendelea kukumbatia umasikini milele?