Fredwash
JF-Expert Member
- Oct 27, 2009
- 1,400
- 2,010
Sasa kaka hapo chukulia mtu anakaz au biashara nyingine maana yake wengi wanaonunu bajaji hawawez kuifanya ajira kamili yaan waendeshe wenyewe sababu wana kazi au biashara ambayo ndio ilileta hiyo 10m ya kununulia hiyo bajajiTAHADHARI !
MLETA MADA APUUZWE
Mleta mada unaijua vizuri biashara ya Bajaji au unasimuliwa?,Je umewahi kumiliki,kuendesha ya mtu au kwenu mmewahi miliki bajaji?
Bajaji Kwa siku inalaza si chini ya elfu 40 na hii ukiwa unaendesha mwenyewe siyo kumpa mtu!
Dereva (Deiwaka) anapata faida kubwa zaidi ya mmiliki!
Hawawez kufanya bajaj kama ajira anataka kufanya kama source of incime ya pilo
Sasa tatizo ndio linaanzia hapo