MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
Biashara zote ni risk taker,bila hivyo kutoboa shida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini maana yako yani twambie tujifunze kituYaani Kuna watu akili kama zimepungua kichwani hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mtu mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku na risk za kutosha hii ni akili Gani yaani hela za mashamba ya urithi nyumbani kwenu unatarajia hii biashara kichaa ikunufaishe aisee kweli washamba mnaotoka kijijini na pesa za urithi wa mashamba mtaendelea kukumbatia umasikini milele?
Wewe mpaka Leo umewekeza kiasi gani na umepata kiasi gani?Wewe mpaka Leo umewekeza kiasi na umepata kiasi gani?
Umasikini tabu Kila kitu unahisi umekejeliwa🤣🤣🤣🤣🤣Huko Sawa nimemwambia pia yeye ni kukejeli hakuna biashara isiyo na changamoto
Million sabini napata million 6 kila mwezi hiyo ni moja tu ya uwekezaji Wangu na wewe jeWewe mpaka Leo umewekeza kiasi gani na umepata kiasi gani?
Hiyo sio biashara ni uchiziNdio mana nimetoa hoja kwa moderators kwamba hii mada ina lengo au imewekwa kwa lengo la kukejeli biashara hii kwamba wanaofanya biashara hii ni vichaa kama.mleta mada anavyowatukana humu, sasa ndo nawauliza moderators kuna ulazima gani wa kuendelea kua na mada hii hewani ikiendelea kuwakejeli na kuwadharau wanaofanya biashara hii au waliowekeza kwenye biashara hii,
Payge
Active
Million 100 napata milion 55 Kwa mwezi huo ni moja ya uwekezaji wanguMillion sabini napata million 6 kila mwezi hiyo ni moja tu ya uwekezaji Wangu na wewe je
Hakuna hoja zaidi ya matusi ..kufedhehesha na kukejeli biashara za watu waliowekezaKuna watu mnaongea tu ili kujifurahisha, hamjafikiria kuwa hizo bajaji zinatoa ajira kiasi gani? Wanaouza vifaa vya bajaji wamuuzie nani? Wenye garage na mafundi wapate wapi kazi? Nasisi ambao ni usafiri wetu hatuna uwezo wa kununua magari mmetufikiria? Kwa mantiki hio msifikirie tu kwa upande wa anayenunua bajaji kwani hufaidisha watu wengi. Lakini pia mimi ni shahidi kuna watu zinawajengea hapa mjini. Halafu kwa wale wenye wasiwasi kuwa inaweza kuharibika kabla ya kurudisha hela niwaambie tu kuwa kila biashara ina changamoto zake, na mjue kuwa bajaji inaweza kukaaa miaka 5 bila kuguswa injini.
Hahahahah, noma sanaKilimo we kisikie tu. Tunatakiwa usiwe mtu wa kukata tamaa.
Nililima maharagwe nikiwa na lengo la la kuvuna gunia 20-25 @ nilitegemea ningeuza Kwa lakin 3. nilipigwa Moja ya chembe chaliii.
GREAT POINTHaiwez kuja yote kama ilivyo. Labda uyo mnunuaji aendeshe mwenyewe. Ila kama anampa mtu asitegemee iyo 7M kwa mwaka, coz kuna kupigwa kiswahili, dereva kuna cku haleti hela. Inshort biashara yoyote ya usafirishaji kama ndo unaanza fanya mwenyewe ila sio kumpa mtu.
Wewe ulitaka ununue bajaji 10m halafu deiwaka akuletee 5m kwa siku ili utajirike haraka? Acha dharau zako mzee. Biashara ya bajaji ndio inatuweka mjini.Hesabu we huoni hapo million 10 na 20k Kwa siku ni mbingu na ardhi halafu biashara yenyewe bajaji
Sasa na wewe code, 20,000/= per day, Unategemea 20 nzima uweke pembeni kwa mwaka mzima, hivi utaishije! Hutaki kula, hutaki kuvaa n.k! Hata mimi siwezi kufanya upumbavu huoTupe hesabu zako basi zinazosibitisha uchizi wake??
20,000x365days= 7,300,000 hiyo ni kwa mwaka mmoja.
Vipi anaenunua bus kama yutong 300m sijui halafu kwa siku analetewa laki 5 ?Yaani Kuna watu akili kama zimepungua kichwani hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mtu mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku na risk za kutosha hii ni akili Gani yaani hela za mashamba ya urithi nyumbani kwenu unatarajia hii biashara kichaa ikunufaishe aisee kweli washamba mnaotoka kijijini na pesa za urithi wa mashamba mtaendelea kukumbatia umasikini milele?
Ni ujinga kununua chombo cha moto na kumpa mtu mwingne.Kuna jamaa yangu aliuza kiwanja kanunua bodaboda mpya mbili kazikodisha zimletee hesabu! Ndani ya miezi mitatu ziko hoi taabani kazipaki!
HahahahYaani uwekeze 20M Ili upate elfu 40 Kwa siku akili Gani hii
Huna akili ,fala weweWe kaa hapo kwa shemeji,mwishoe aje akupige paipu nawewe, kuna mshkaji iyo milion kumi alienda kusini kununua korosho,alinunua kwa Kg 1300,kaja kuuza kg 4400, kanunua karibia awamu mbili, kapata faida chafu, sasaivi anasubiria ufuta,
We unasema milioni kumi utafanya biashara gani, kuna mshkaji ana meza pale mwenge mtaji kaanzia milioni tu,sasaivi yuko good kimtaji na maendeleo
Kwaiyo mkuu unawekeza M10 ili upate M7 kwa mwaka..hahaha....Halafu unasahau kitu..iyo M7 unayoipigia hesabu apo ki kama Bajaji itafanya kazi mwaka mzima bila ya kupumzika ata siku moja...kumbuka Kuna hesabu za service na garama zingine za uendeshaji kama Kodi za TRA,Insuarence saivi hadi zimamoto wanawataka mabajaji wawe na mitung ya kuzima moto kwa dharula..kiukweli mleta mada yuko sahihi sana..kuwekeza M10 kwa faid isiyo zid M6 kwa mwaka huo ni uvivu wa kufikilia..Tupe hesabu zako basi zinazosibitisha uchizi wake??
20,000x365days= 7,300,000 hiyo ni kwa mwaka mmoja.