Mtu asiejua kutumia computer ni Sawa na maiti inayotembea kwa karne hii

Mtu asiejua kutumia computer ni Sawa na maiti inayotembea kwa karne hii

Ibilisi Mjalaana

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
8,297
Reaction score
16,529
Habari

Aisee hili suala ni zito sana, unakuta ofisi nzima anaejua kutumia computer ni mmoja tu

Walimu ndo takataka kabsa kati walimu 10 ni mmoja ndo anajua kutumia computer au unaweza kuta wote hawajui

Hii ni hatari kwa maendeleo ya taifa lolote lile linalojitambua

Bora Hawa watu wa afya kidogo wanalazmika kujua computer

Huko kwa maafande ndo nisiongee hakuna kitu kabsa hata ku update wasap wengne hawajui tunawatoza pesa 3k

Yani kuna muda nasema inawezekana robo tatu ya wafanyakazi wa serikalini hawajui hata kuwasha computer sio kutumia

Uko kweny ESS ndo kidogo kumewazndua wachache nawao wajue mambo mawil matatu

Hawa watu ndo maana kuwatapel ni rahisi kama unasukuma mlevi

Kuna muda nasema au kwasabab wengi wametoka vijijin?

Uzi tayari
 
Kipengere ukiwatumia document WhatsApp yenye mfumo wa pdf.... Anakwambia siioni kumbe anashindwa kuifungua
 
Back
Top Bottom