Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Eti wakuu
Mtu anayeuchuna mazima baada ya kuwa umempigia simu au kumtumia meseji ni kwamba
yupo bize sana kiasi hana kabisa muda wa kuona simu au meseji zilizoingia?
Au anaona simu na meseji ila anapokea na kujibu jumbe zile za muhimu tu na ivyo ukiona yako haijapata majibu ujue ni miongoni mwa zile zisizo muhimu au ndo inawezekana keshakuona hata wewe mwenyewe hauna umuhimu?
Au inakuwa ni nini hasa kinatokea hapo?