Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Wa hivyo mi huwa namvumilia huenda kuna hali fulani anaipitia kwa wakati huo. Ila nikigundua ni tabia yake na ikiwa hana 'impact' yoyote kweny maisha yangu, nafuta kabisa namba.Eti wakuu
Mtu anayeuchuna mazima baada ya kuwa umempigia simu au kumtumia meseji ni kwamba
yupo bize sana kiasi hana kabisa muda wa kuona simu au meseji zilizoingia?
Au anaona simu na meseji ila anapokea na kujibu jumbe zile za muhimu tu na ivyo ukiona yako haijapata majibu ujue ni miongoni mwa zile zisizo muhimu au ndo inawezekana keshakuona hata wewe mwenyewe hauna umuhimu?
Au inakuwa ni nini hasa kinatokea hapo?
Naam, NASABA ni muhimu kufahamika ili kuupata mzizi na kiini cha hali hiyo.Mahusiano yenu yapoje na huyo mtu, unamdai, mnahasimiana katika mapenzi au mpoje naye?
Tungeelewa kwanza nasaba yenu ipoje, inakuwa rahisi kutoa maoni.
Sio kipaumbele chake wakati huoEti wakuu
Mtu anayeuchuna mazima baada ya kuwa umempigia simu au kumtumia meseji ni kwamba
yupo bize sana kiasi hana kabisa muda wa kuona simu au meseji zilizoingia?
Au anaona simu na meseji ila anapokea na kujibu jumbe zile za muhimu tu na ivyo ukiona yako haijapata majibu ujue ni miongoni mwa zile zisizo muhimu au ndo inawezekana keshakuona hata wewe mwenyewe hauna umuhimu?
Au inakuwa ni nini hasa kinatokea hapo?
Tukumbushane tu hakuna mtu hapokei simu ya MoEti wakuu
Mtu anayeuchuna mazima baada ya kuwa umempigia simu au kumtumia meseji ni kwamba
yupo bize sana kiasi hana kabisa muda wa kuona simu au meseji zilizoingia?
Au anaona simu na meseji ila anapokea na kujibu jumbe zile za muhimu tu na ivyo ukiona yako haijapata majibu ujue ni miongoni mwa zile zisizo muhimu au ndo inawezekana keshakuona hata wewe mwenyewe hauna umuhimu?
Au inakuwa ni nini hasa kinatokea hapo?
Jibu mbona umeliweka vizuri kabisa hapo?Au anaona simu na meseji ila anapokea na kujibu jumbe zile za muhimu tu na ivyo ukiona yako haijapata majibu ujue ni miongoni mwa zile zisizo muhimu au ndo inawezekana keshakuona hata wewe mwenyewe hauna umuhimu?
Raha ya kufuta namba, uzuie pia namba mpya ambazo hazipo kwenye phone list ya kwenye simu yako zisiweze kukupata, hapo unakuwa umemalliza kazi.Wa hivyo mi huwa namvumilia huenda kuna hali fulani anaipitia kwa wakati huo. Ila nikigundua ni tabia yake na ikiwa hana 'impact' yoyote kweny maisha yangu, nafuta kabisa namba.
Mwishoni mwa mwaka uliopita nimefuta namba za wengi sana wenye tabia hiyo. Sitakagi madharau aisee
Mind your own businessEti wakuu
Mtu anayeuchuna mazima baada ya kuwa umempigia simu au kumtumia meseji ni kwamba
yupo bize sana kiasi hana kabisa muda wa kuona simu au meseji zilizoingia?
Au anaona simu na meseji ila anapokea na kujibu jumbe zile za muhimu tu na ivyo ukiona yako haijapata majibu ujue ni miongoni mwa zile zisizo muhimu au ndo inawezekana keshakuona hata wewe mwenyewe hauna umuhimu?
Au inakuwa ni nini hasa kinatokea hapo?
sasa kwann laknMim huyo
how?Mind your own business
'Own business' ndiyo hiyo kafanya na simu yake kupuuzwa.Mind your own business
Unazuiaje namba mpya isikupate ? Kuna app ya kuistall au
Mtu anapokua hataki interaction na wew, hatua ya kwanza ni kuzuia mawasilianohow?
shehe unadai mtu Januari hii?Kuna mmoja namdai hapokei ebu nimfuate kwaje
Mbona majibu yapo ktk aya yenye question mark, kuanazia neno au...Eti wakuu