Mtu asiyepokea simu au kujibu ujumbe wa simu ana maana gani?

🤣🤣daah aisee nmecheka sana japo stori inasikitisha sana. pole mkuu
 
Mfano mimi siyo mtu wa kuizingatia cm naweza maliza siku nisiishike, ila nikikuta nimepigiwa huwa napiga
 
Katika sim ambayo naizingatia sana ni namba ngeni, sim ambazo sizizingatii kivile ni sim Toka kwa ndg aisee mtanisamehe sana kwa hilo
 
Hutakiwi kuumiza kichwa jambo la wazi ni kuwa huyo mtu hataki mawsiliano na wewe......

Unatakiwa akili yako ilijue hilo na kukaa naye mbali ili kulinda heshima yako
 
Kama ukiwa karibu nae huwa yupo busy na simu mara zote. Bhasi jua call au text yako haina umuhimu maana kama ingekuwa nao bhasi angekutafuta baada ya kutoka katika hali inayomtatiza au kupokea simu kwa wakati
 
Hakuna anaye enjoy kuchat na wewe asijibu wala kupokea simu yako,
Acha usumbufu, fanya mambo yako mengine tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…