Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa. Mithali 6 : 32

Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa. Mithali 6 : 32

Internet-Money

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2021
Posts
493
Reaction score
1,135
images (34).jpeg
 
Mithali iliandikwa na Paulo?
Mpumbavu hujulikana akifungua mdomo wake , akikaa kimya huhesabiwa kama kwenye hekima
Punguza makasiriko kijana,,bado tuu unaendelea na mistari yako ya kwenye kitabu cha kina Paulo!
 
Punguza makasiriko kijana,,bado tuu unaendelea na mistari yako ya kwenye kitabu cha kina Paulo!
Ukijamba usiambiwe?
Mwandishi wa mithali ni Suleiman , na ukiongelea sex basi yeye aliifanya ,
Na sio akiwa maskini , but mwisho wa siku akaona ni ubatili
 
Ukijamba usiambiwe?
Mwandishi wa mithali ni Suleiman , na kukiongelea sex basi yeye aliifanya , na sio akiwa maskini , but mwisho wa siku akaona ni ub

Ukijamba usiambiwe?
Mwandishi wa mithali ni Suleiman , na kukiongelea sex basi yeye aliifanya , na sio akiwa maskini , but mwisho wa siku akaona ni ubatili
10 Mwanangu, wenye dhambi wakikushawishi, Wewe usikubali.
Mithali 1:10
 
Wazini na nani sasa? Mwanaume?
26 Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate; Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani
Mithali 6:26
 
Ukijamba usiambiwe?
Mwandishi wa mithali ni Suleiman , na ukiongelea sex basi yeye aliifanya ,
Na sio akiwa maskini , but mwisho wa siku akaona ni ubatili
Kwanini Mungu hakumuangamiza au kumkemea kuwa anachokifanya sicho, Mfalme Saudi je! Ibrahimu nayeye
 
Back
Top Bottom