Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa. Mithali 6 : 32

Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa. Mithali 6 : 32

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Kichwa panzi , mpaka umri huo hujui nini maana ya uzinifu?
Ni kufanya mapenzi , nje ya ndoa

Kama unahiyo michezo , iache
Wapi nimesema sijui maana ya uzinifu?
Halafu kaambiwa mwanaume...sie wanawake kuzini ruksa, haijakatazwa.
Bichwa lako.
 
Wapi nimesema sijui maana ya uzinifu?
Halafu kaambiwa mwanaume...sie wanawake kuzini ruksa, haijakatazwa.
Bichwa lako.
Nipe maana ya hayo majibu yako:

Wazini na nani sasa? Mwanaume
 
Nipe maana ya hayo majibu yako:

Wazini na nani sasa? Mwanaume
"Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa". Nimeuliza ilitakiwa azini na nani kama sio na mwanamke?
Ingetosha kusema "mtu aziniye hana akili" maana ipo wazi kwamba mwanaume atazini na mwanamke.
 
"Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa". Nimeuliza ilitakiwa azini na nani kama sio na mwanamke?
Ingetosha kusema "mtu aziniye hana akili" maana ipo wazi kwamba mwanaume atazini na mwanamke.
Kuzini ni tendo la mwanaume na mwanamke - likifanywa nje ya ndoa.

Ukishajua hivyo hautouliza maswali ya ajabu ajabu
 
Aliona ni ubatili baada ya kula maisha, si ndiyo?

Sasa wacha nami nile maisha, halafu huko mbeleni nitaona ni ubatili tu.
Je utakufa katika umri sawa na huyo Suleiman
Yawezekana kifo kikafuta muda huu huu
Kifo ni kama mwizi , haujui anakuja muda gani
 
Back
Top Bottom