min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Ingekua ni hivyo kisinge fiti kwa kila mtu ,kingekuja moja kwa moja kinafiti kwa mtu fulani tu , sema tu ni ustaarabu na hekima ya ubinadamu tu .Hicho kidude unachokisema si mali yake. Ukishakubali kuingia kwenye mahusiano ya ndoa uke/uume sio mali yako tena!
1 Wakorintho 7:4
[4]Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe.
