Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa

Hicho kidude unachokisema si mali yake. Ukishakubali kuingia kwenye mahusiano ya ndoa uke/uume sio mali yako tena!

1 Wakorintho 7:4
[4]Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe.
Ingekua ni hivyo kisinge fiti kwa kila mtu ,kingekuja moja kwa moja kinafiti kwa mtu fulani tu , sema tu ni ustaarabu na hekima ya ubinadamu tu .
 
Wanatafuta uchumi!
 
Ikimuona mke wa mtu au mume wa mtu anatoka nnje ya ndoa yake jua Kuna tatizo ndani ya ndoa hiyo hivyo anatoka kupata huduma za kibinaadamu ambazo kazikosa kwake na ametafuta suluhisho pia kakosa....ni watu wazima wanajua baya na zuri hivyo ukiona mtu kachepuka jua Kuna sababu iliyo pelekea hiyo Hali kutokea.
 
Kuzini sio tatizo Ila tatizo ni kubeba mikosi -hii ndo sababu sio rahisi hata kwa dawa mm kutembea na mke ambaye sijamuoa na kuwa na commitment nae

Unapopata kibali cha maisha kitumie vizuri Sana.✊🏿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…