Mtu baada ya Mtu, Kitabu kipya cha Yericko Nyerere

Mtu baada ya Mtu, Kitabu kipya cha Yericko Nyerere

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
17,005
Reaction score
20,425
Kitabu cha MTU BAADA YA MTU kinahusu mambo ya intelijensia na Usalama, msingi mkuu wa Kitabu hiki kinamuelezea mtu mmoja ambae ni Mtanzania aliyetajwa kwa jina la Kijana wangu,

Kitabu kimeeleza chimbuko la Kijana wangu toka kizazi chake cha sita, kimeeleza kuzaliwa kwake kwa maajabu, ktabu kimeeleza makuzi yake ya maajabu, kitabu kimeeleza elimu yake, pia kitabu kimeeleza elimu yake ya ujasusi, misheni za hatari kama sehemu ya masomo yake, tasnifu yake mujarabu na kuhitimu kwake.

Pia kitabu kimeeleza misheni zake za kijasusi baada ya kuhitimu masomo ya ujasusi ng'ambo, moja ya misheni za kutisha ni kama vile misheni ya Tel Aviv, Budapest, Lagos, London, Moscow, Dar es Salaam, Kigali, Lusaka, Sofia, Beijing na nyingine nyingi.

Kitabu ni maalumu kwa mtu yoyote aliyepevuka kiakili, ni kitabu cha elimu na burudani. Kimetumia lugha ya kiswahili iliyosanifiwa kitaalamu inayotia taharuki na kuburudisha medula za msomaji vilivyo. Ni kitabu cha kurasa 405 zilizoshiba vilivyo.

Pata rasmi Kitabu cha "MTU BAADA YA MTU" kwa 80,000/= tu

Lipia 80,000/= kwa

TigoPesa 0715865544
M-Pesa 0755865544
Airtel Money 0788887887
HaloPesa 0624452045
(Yericko Nyerere)

Tuma majina yako na ulipo

(Dar ni free delivery)

Nje ya Dar nauli 8,000/=

Usisahau pia Ofa ya Mwaka Mpya ya Kitabu cha Ujasusi kwa 20,000/= inaendelea hadi 2/1/2021.

IMG_20201230_082637_719.jpg
IMG_20201227_113412_798.jpg
 
Napenda Sana Riwaya hiz hasa za kijasusi......Nikiitoa Mtutu wa Bunduki yake mponda!!!! Nadhan itakayofuata ni hii!!

Big up Comrade!! Y""Nyerere!![emoji106]
 
Tangu tarehe 13/12 nimekuja kuingia JF baada ya X-mas, soma nyuzi zangu mi naheshimu ndugu na mwisho wa mwaka ndiyo utamaduni wangu, wewe kutwa kila siku baba lizima huna hata kazi za kufanya? lo!
Mimi ndugu wanakuja kwangu kunitembelea siishi kwa matambiko kama familia yako!

Naendelea kuenjoy Jf manka wewe wahudumie wanywa mbege huko migombani kwa wachaga weusi!
 
Back
Top Bottom