johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaaa...... Hako kademu kamelewa mbege bwashee.mbona mnaparurana kwenye post za watu wa intelligence 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa...... Hako kademu kamelewa mbege bwashee.mbona mnaparurana kwenye post za watu wa intelligence 😀
Mkuu punguza bange,macho yameanza kuwa mekundu.Kitabu cha MTU BAADA YA MTU kinahusu mambo ya intelijensia na Usalama, msingi mkuu wa Kitabu hiki kinamuelezea mtu mmoja ambae ni Mtanzania aliyetajwa kwa jina la Kijana wangu,
Kitabu kimeeleza chimbuko la Kijana wangu toka kizazi chake cha sita, kimeeleza kuzaliwa kwake kwa maajabu, ktabu kimeeleza makuzi yake ya maajabu, kitabu kimeeleza elimu yake, pia kitabu kimeeleza elimu yake ya ujasusi, misheni za hatari kama sehemu ya masomo yake, tasnifu yake mujarabu na kuhitimu kwake.
Pia kitabu kimeeleza misheni zake za kijasusi baada ya kuhitimu masomo ya ujasusi ng'ambo, moja ya misheni za kutisha ni kama vile misheni ya Tel Aviv, Budapest, Lagos, London, Moscow, Dar es Salaam, Kigali, Lusaka, Sofia, Beijing na nyingine nyingi.
Kitabu ni maalumu kwa mtu yoyote aliyepevuka kiakili, ni kitabu cha elimu na burudani. Kimetumia lugha ya kiswahili iliyosanifiwa kitaalamu inayotia taharuki na kuburudisha medula za msomaji vilivyo. Ni kitabu cha kurasa 405 zilizoshiba vilivyo.
Pata rasmi Kitabu cha "MTU BAADA YA MTU" kwa 80,000/= tu
Lipia 80,000/= kwa
TigoPesa 0715865544
M-Pesa 0755865544
Airtel Money 0788887887
HaloPesa 0624452045
(Yericko Nyerere)
Tuma majina yako na ulipo
(Dar ni free delivery)
Nje ya Dar nauli 8,000/=
Usisahau pia Ofa ya Mwaka Mpya ya Kitabu cha Ujasusi kwa 20,000/= inaendelea hadi 2/1/2021.
View attachment 1662692View attachment 1662693
Ofa ilikuwa kwa ujasusi na inaisha tarehe 2 January..... Baada ya hapo ni 80,000 mwendo mmoja
Utakufa masikini wewe mzee, kwa umri wako ulipaswa uwe na miradi badala ya kumika na akina Polepole ambao hawana uelekeo.Mimi ndugu wanakuja kwangu kunitembelea siishi kwa matambiko kama familia yako!
Naendelea kuenjoy Jf manka wewe wahudumie wanywa mbege huko migombani kwa wachaga weusi!
Hapo tu ndiyo huwa anaharibu snWote tunasubiri hizo promotion zake za elfu 20.
Unanunua leo elfu 80. Kesho anauza elfu 20!Hapo tu ndiyo huwa anaharibu sn