Mtu gani alikuja katika maisha yako alikusaidia na kuondoka

Mtu gani alikuja katika maisha yako alikusaidia na kuondoka

Dah!! Ni km umenilenga mimi [emoji17]

(…….) siwez kumtaja lkn yeye kagoma kuondoka maishani kwangu na ananifanya nikose amani ya moyo
 
Ni mkaka m1 wa kihayaa, ishi sanaa Michael,
Popote ulipo, kila upangalo ufanikiwe, na uzidi kubarikiwa mnoo.
[emoji120][emoji120]
 
Niliacha mkuu.!!. Na sio kaz yangu ya kwamza kuacha.
2014 mwaka mmoja tuu toka nimetoka kumaliza chuo nilipata kaz ya kulipwa $450 by that time ilikua kama 720k hiv... nilifanya kazi miez mi 5 nikaacha kwakua sikua naipenda na sikua na amni nayo nikaenda kufundisha tuition nalipwa shiling elf 15 kwa siku kisha nikaajilowa kwenye kaz niliyosomea na kua nalipwa 250k na nikaona poa tu Wakilimsomitz
Mmhh mkuu sipangigwiiii kiivyoo...weee
 
Mmmh
 
Mmhh mkuu sipangigwiiii kiivyoo...weee
Sure am telling...sijui nikuaminisheje lakin ndio ukweli.😂
Ujue mimi nimegombana sana na wazee kuna kipindi wakahisi mimi nina mapepo ya umasikini situlii kazin
 
Uz mzuri
Kuna wakat Mungu huwaleta watu kukusaidia
 
Mwaka 2017 Nilienda kufanya usaili kwenye NGO moja ivi dodoma, kwenye usaili ule majibu mengi ya uzoefu nilidanganya, ila yule mwanamke aliekua ananihoji alinipenda.
Akanisaidia sana kupata ile kazi, na baada ya kuipata akaniambia najua ulikua unadanganya ila nilipenda ulivojiamini.
Tukawa wote kwa mwezi mzima akinifundisha kazi, na baada ya apo alikaa mwezi mmoja akaumwa sana na akafariki.
Ni kama alikua na mda mfupi kwa ajili yangu.
Na kwa kuniamini kwake, kumenipa uzoefu sana kwenye eneo ili.
Mungu amulaze mahali pema.
Ni kweli mkuu alikuepo kwa wakati husika kwajili yako. Moments kama hizo zinamjenga mtu na kumpa ujasiri
 
Hello.

Wana chitcharts ni nani alikuja katika maisha yako ukiwa na uhitaji mkubwa wa jambo alikusaidia kwa asilimia kubwa na Akaenda Hakurudi tena au haukuwahi kuendelea kuwasiliana nae.

Kuna rafiki yangu alinikopesha million 1 nilipotoka kumaliza chuo aisee yule Dada ni wakishua nimesoma nae alinisaidia nikaanza biashara ya viatu mtumba.

Nikawa nikipata faida namrudishia hela kidogokidogo mwanzo kabisa nilipompa laki moja akaniambia usinilipe nimekusamehe,kiukweli sijui yuko wapi maana baada ya kuolewa Tuliamua kupoteza au kuacha kuwasiliana
Rafiki yangu Yesu tangu aondoke miaka 2023 hadi leo hajarudi tena, licha ya kuniahidi atarudi mapema tu.
 
Back
Top Bottom